Inakuwaje TRA kwenye nne bora ya wenye uadilifu wapo na nne bora ya wala rushwa wamo? Huu utafiti nina mashaka nao

Inakuwaje TRA kwenye nne bora ya wenye uadilifu wapo na nne bora ya wala rushwa wamo? Huu utafiti nina mashaka nao

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Angalia picha kisha toa maoni yako.

InShot_20221013_163352233.jpg
 
Rushwa ipo kila sehemu.

Wafanyabiashara wakubwa wanakwepa kodi ya milioni 400 kwa rushwa ya milioni 20 tu.
 
Wakiwachafua sana bila kuwasafisha wana hofu na hayo makusanyo ya kaizari kama yatakua sawa hapo baadae...TRA wanapenda kiwango cha kodi kinapokua juu ili nao waweze kupata rushwa ikiwa chini mlipakodi anaona alipe bila rushwa wengi hawapendi ingawaje huko huko TRA wapo wengi sio wala rushwa kabisaa wamenyoka na kazi na wanakueleza njia sahihi ili uwe salama.
 
Back
Top Bottom