kinyoba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,267
- 720
sasa kama wote hamna busara na hekima mnategemea nini? Lazima mumtafute mzee wa busara kama Kinyoba hapa awape darasa. Mi sioni ubaya ukisuluhishwa na mwingine na hii ni nzuri zaidi kama mmoja wenu ndie mwenye matatizo na hataki kukubali.inabidi utumie nguvu ya ziada kumaliza tatizo. Vinginevyo ni kutengana tu.