Taraka ni kitu gani?Nimeona jambo hili kwa baadhi ya wanawake, hasa wale waliotoka kwenye ndoa Zenye changamoto.
Mwanamke anapokuwa kwenye ndoa yenye changamoto labda ameumizwa, amepuuzwa, amenyanyaswa au hakupata alichotarajia, anaweza kufikia uamuzi wa kuomba taraka. Hatua hii, kwa wengi, huonekana kama ujasiri na kujitambua.
Lakini kinachokuja baada ya hapo, ndicho kinachozua maswali.
Baada ya kutoka kwenye ndoa iliyokuwa inamtesa, badala ya kutulia na kujijenga upya, utaanza kuona mabadiliko makubwa ya kitabia. Mambo ambayo awali alikuwa anayasikia tu kwa wengine, sasa yanaanza kuonekana kwake.
Anaanza kuingia kwenye mahusiano mengi bila mwelekeo YAANI hakuna mipaka. Kama ana mtoto, mazingira ya mtoto pia yanabadilika kwakuwa anakutana na watu wengi tofauti kwenye maisha ya mama yake, jambo linaloweza kumchanganya na kumuathiri.
Mtu aliyekuwa na utaratibu na mipaka, anaanza kuishi maisha yasiyo na mpangilio, kurudi nyumbani usiku sana, ulevi kupita kiasi, na tabia nyingine za starehe bila kujali athari zake.
Kwa nje inaweza kuonekana kama anafurahia uhuru, lakini mara nyingi ndani yake kuna mchanganyiko wa maumivu, hasira, na hali ya kutafuta kujifariji au kusahau aliyopitia.
Kwanini uombe taraka ukaishi maisha ya hovyo?
Kuna wanawake wachache sana wanao survive BAADA ya taraka.
Uko sokoni anaenda kukutana na masaloUnataka ukishamuacha aomboleze sio???
Ni kuoga na kurudi sokoni chap kwa haraka
AahaaaahUnataka ukishamuacha aomboleze sio???
Ni kuoga na kurudi sokoni chap kwa haraka
Ni mod NDO kaeditTaraka ni kitu gani?
Ulevi ni kurudi sokoni au umalayaUnataka ukishamuacha aomboleze sio???
Ni kuoga na kurudi sokoni chap kwa haraka
Yelew baba BIA BIA beerUmeongea kwa uchungu sana mkuu...🤣
Ulevi sio umalaya!Ulevi ni kurudi sokoni au umalaya
Wanawake walio wengi huamini idadi ya wanaume wanaomfuata ndiyo kipimo cha thamani yake, pasipo kuelewa kuwa hicho huwa ni kipimo cha jinsi alivyo rahisi kupatikana.Unataka ukishamuacha aomboleze sio???
Ni kuoga na kurudi sokoni chap kwa haraka
Acha ulevi dogo languUlevi sio umalaya!
Vyovyote vileWanawake walio wengi huamini idadi ya wanaume wanaomfuata ndiyo kipimo cha thamani yake, pasipo kuelewa kuwa hicho huwa ni kipimo cha jinsi alivyo rahisi kupatikana.
#kataaumalaya.
Mi sio mlevi kaka’ake!Acha ulevi dogo langu
Ukiona kawa na tabia hizi ujue alikuwa ni kunguru tangu mwanzoMtu aliyekuwa na utaratibu na mipaka, anaanza kuishi maisha yasiyo na mpangilio, kurudi nyumbani usiku sana, ulevi kupita kiasi, na tabia nyingine za starehe bila kujali athari zake.
Talaka ikishatolewa kile kilichokuwa kimejificha ndani ya mtu ndicho huwa kinajidhihirisha sana kwa walio wengi kwa muda huo.