Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,642
- 11,139
Imekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa.
Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka.
Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka Hollywood n.k. wakimiminika kupumzika na kutalii ndani ya Tanzania.
Nimeandika uzi huu baada ya kuona video ya Drew Binsky: Travel Blogger/Blogger akiiweka Tanzania #1 katika nchi 54 alizotembelea Africa, video link.
Ni yapi maajabu ya Tanzania?