Huo mlima Kilimanjaro,mbuga za wanyama, vyakula vya Asili,Ardhi kibao nguvu zako tuu,mito,bahari ,maziwa nk!Imekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa.
Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka.
Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka Hollywood n.k. wakimiminika kupumzika na kutalii ndani ya Tanzania.
Nimeandika uzi huu baada ya kuona video ya Drew Binsky: Travel Blogger/Blogger akiiweka Tanzania #1 katika nchi 54 alizotembelea Africa, video link.
Ni yapi maajabu ya Tanzania?
Ukiachana na kupazoea mahali, wageni wanakuja ku-spend tu hivyo hawawezi kujua jinsi Tanzania/Africa ilivyo harsh. Ku-earn $1 bila magamba ya chuo basi ujue jasho lazima likutoke.Ukishakaa sehemu kwa muda mrefu sana na kupazoea sana utapachoka tu.
Mtu kama bongo zozo anaisifia Tanzania sana hadi analilia wanae wapewe uraia wa Tanzania.
Lakini hapohapo msanii Young Dar es salaam(Young D) anakwambia bongo bahati mbaya.
Katimkia zake USA.
Ziara ya mama kutangaza utalii imezaa matunda makubwa.Imekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa.
Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka.
Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka Hollywood n.k. wakimiminika kupumzika na kutalii ndani ya Tanzania.
Nimeandika uzi huu baada ya kuona video ya Drew Binsky: Travel Blogger/Blogger akiiweka Tanzania #1 katika nchi 54 alizotembelea Africa, video link.
Ni yapi maajabu ya Tanzania?
Tanzania ndio taifa tukufu kuliko yote duniani....Imekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa.
Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka.
Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka Hollywood n.k. wakimiminika kupumzika na kutalii ndani ya Tanzania.
Nimeandika uzi huu baada ya kuona video ya Drew Binsky: Travel Blogger/Blogger akiiweka Tanzania #1 katika nchi 54 alizotembelea Africa, video link.
Ni yapi maajabu ya Tanzania?
Sababu ni shamba la bibi na bibi mwenyewe sasa yupo madarakaniImekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa.
Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka.
Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka Hollywood n.k. wakimiminika kupumzika na kutalii ndani ya Tanzania.
Nimeandika uzi huu baada ya kuona video ya Drew Binsky: Travel Blogger/Blogger akiiweka Tanzania #1 katika nchi 54 alizotembelea Africa, video link.
Ni yapi maajabu ya Tanzania?
Royal Tour EffectsImekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa.
Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka.
Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka Hollywood n.k. wakimiminika kupumzika na kutalii ndani ya Tanzania.
Nimeandika uzi huu baada ya kuona video ya Drew Binsky: Travel Blogger/Blogger akiiweka Tanzania #1 katika nchi 54 alizotembelea Africa, video link.
Ni yapi maajabu ya Tanzania?
Shambaaa la bibiiiiImekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa.
Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka.
Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka Hollywood n.k. wakimiminika kupumzika na kutalii ndani ya Tanzania.
Nimeandika uzi huu baada ya kuona video ya Drew Binsky: Travel Blogger/Blogger akiiweka Tanzania #1 katika nchi 54 alizotembelea Africa, video link.
Ni yapi maajabu ya Tanzania?
poor brain!Ukishakaa sehemu kwa muda mrefu sana na kupazoea sana utapachoka tu.