Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
TANESCO wanakata umeme nyanda za juu sababu wanatandaza nyanya Dodoma-Chalinze. Hii kijiografia na kiusambazaji wa umeme imekaaje maana hainiingii akilini?
Habari, ndugu mteja. Asante kwa kuwasiliana nasi, na pia tunaomba radhi kwa kuchelewa kukurudia juu ya ujumbe wako.TANESCO wanakata umeme nyanda za juu sababu wanatandaza nyanya Dodoma-Chalinze. Hii kijiografia na kiusambazaji wa umeme imekaaje maana hainiingii akilini?
Kanda ya ziwa nako ni hivyohivyo.Habari, ndugu mteja. Asante kwa kuwasiliana nasi, na pia tunaomba radhi kwa kuchelewa kukurudia juu ya ujumbe wako.
Tafadhali fahamu kua mfumo wa usafirishaji wa umeme umeunganishwa, hivyo hitilafu au kazi kwenye njia moja inaweza kuathiri njia nyingine zilizounganishwa kwenye mfumo huo. Kwa sababu hiyo, maeneo ya Nyanda za Juu yanaweza pia kuathirika kwa kuwa yameunganishwa katika mfumo huo huo wa usafirishaji wa umeme pamoja na mikoa mingine.
Tunaomba radhi kwa usumbufu unaoweza kujitokeza wakati wa utekelezaji wa kazi hizi, na tunashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wako.
Asante. ^FL
Kanda ya ziwa nako ni hivyohivyo.
Halafu nilidhani zoezi la kukata umeme lingekuwa la mwisho siku ya kuunganisha umeme. Wiki 2 sasa wimbo ni kuvut nyaya
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, Tunaomba radhi kwa usumbufu unaosababishwa na kukatika kwa huduma ya umeme wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo. Tunafahamu kuwa zoezi hilo limechukua muda na linaweza kuathiri shughuli za kila siku.Kanda ya ziwa nako ni hivyohivyo.
Halafu nilidhani zoezi la kukata umeme lingekuwa la mwisho siku ya kuunganisha umeme. Wiki 2 sasa wimbo ni kuvut nyaya