Habari, ndugu mteja. Asante kwa kuwasiliana nasi, na pia tunaomba radhi kwa kuchelewa kukurudia juu ya ujumbe wako.
Tafadhali fahamu kua mfumo wa usafirishaji wa umeme umeunganishwa, hivyo hitilafu au kazi kwenye njia moja inaweza kuathiri njia nyingine zilizounganishwa kwenye mfumo huo. Kwa sababu hiyo, maeneo ya Nyanda za Juu yanaweza pia kuathirika kwa kuwa yameunganishwa katika mfumo huo huo wa usafirishaji wa umeme pamoja na mikoa mingine.
Tunaomba radhi kwa usumbufu unaoweza kujitokeza wakati wa utekelezaji wa kazi hizi, na tunashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wako.
Asante. ^FL