TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Nina mwezi sasa nafanya utafiti kuhusu masuala ya kodi, nimegundua mambo mengi sana ambayo majibu yake hata maafisa wa TRA wanajing'ata kujibu, moja ya jambo ni hili, inakuwaje wafanyabiashara wenye mtaji sawa, rate ya mauzo sawa, eneo la biashara moja, lakini wanatofautiana kiwango cha malipo ya kodi?