TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
1. Mnaweza kuwa na mauzo sawa lakini mkatofautiana profit. Hii ita affect kodi mtakqyolipa.Nina mwezi sasa nafanya utafiti kuhusu masuala ya kodi,nimegundua mambo mengi sana ambayo majibu yake hata maafisa wa TRA wanajing'ata kujibu ,moja ya jambo ni hili,inakuwaje wafanyabiashara wenye mtaji sawa,rate ya mauzo sawa,eneo la biashara moja,lakini wanatofautiana kiwango cha malipo ya kodi?.
kivipi biashara ya aina moja,sehemu moja,bidhaa zilezile means zinauzwa kwa kiwango kilekile faida inakuwaje tofauti mkuu?,kuna kodi nyingi,unapojikadiria hujikadirii VAT,VAT inategemeana umeuza kwa kiwango gani,nazungumzia kodi za makadirio mfano maduka haya ya vyakula wengi wanalipa presumptive tax,biashara zinaendana lakini kodi tofauti.1. Mnaweza kuwa na mauzo sawa lakini mkatofautiana profit. Hii ita affect kodi mtakqyolipa.
2. Mnaweza kuwa na mauzo sawa mkatofautiana VAT kutegemeanq na source za mzigo wenu.
3. Kwenye makadirio mwanzo wa mwaka mmoja anaweza akajikadiria juu au chini kuliko mwenzio hivyo viwango vitatofautiana.
Nimejaribu maana mimi sio mtaalam wa kodi.
Nafikiri unajua faida inavyopatikana.kivipi biashara ya aina moja,sehemu moja,bidhaa zilezile means zinauzwa kwa kiwango kilekile faida inakuwaje tofauti mkuu?,kuna kodi nyingi,unapojikadiria hujikadirii VAT,VAT inategemeana umeuza kwa kiwango gani,nazungumzia kodi za makadirio mfano maduka haya ya vyakula wengi wanalipa presumptive tax,biashara zinaendana lakini kodi tofauti.
point namba tatu ndipo yupo mchawi,kwanini mtu ajikadirie na biashara ndio inaanza na hana taaluma ya biashara anaanzisha tu biashara bila mpango kazi,kwanini TRA waruhusu hili?
asante,kwanza nimalize utafiti wangu.Nafikiri unajua faida inavyopatikana.
Simply ni mauzo-matumizi. Matumizi yanatofautiana hapa ndio faida inapotifautiana.
Vat inaweza kutofautiana kutegemea na source mnapochukulia mzigo. Mzigo unaweza kuwa wa 10m kila mmoja ila mtu A kanunua kwa VAT registered supplier mtu B kanunuq kwa supplier asiesajiliwa VAT.
Kuhusu bidhaa kulingana na kodi tofauti nimesema self assessment kila mtu anajikadiria mwenyewe au tuseme akienda TRA wananmkadiria kulingana amekuja vipi. Na kama hajui mambo ya kodi wanamburuza tu.
Still mfumo wetu wa kodi hauko straightforward kuna vitu vingi havijanyooka.asante,kwanza nimalize utafiti wangu.