Inakuweje mtu kaolewa/kaoa lakini bado........

Sinai

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
288
Reaction score
47
Wanajamii, hivi inakuwaje pale unapokuta mtu kaoa au kaolewa, lakini bado anamng'ang'ania mpenzi wake wa zamani kabla hajaingia katika ndoa? Je hii ni afya kweli katika mapenzi? Kwanini usiridhike na huyo aliyekuoa au uliyemwoa? Nawakilisha!!!!!!
 
''fear of the uknown''
 
duh!naona leo ni mambo ya ndoa tu humu ndani.

mh!mi mwenyewe mgeni
 
....sifa kuu ya moyo kutamaaani...tamaa mbaya..20paa
 
Wanajamii, hivi inakuwaje pale unapokuta mtu kaoa au kaolewa, lakini bado anamng'ang'ania mpenzi wake wa zamani kabla hajaingia katika ndoa? Je hii ni afya kweli katika mapenzi? Kwanini usiridhike na huyo aliyekuoa au uliyemwoa? Nawakilisha!!!!!!
Huyo ni kicheche tu,
 
Mi naona tamaa zaidi,kuoa cause umempa Mdada mimba na ukapata shinikizo toka kwa wazazi au dada, huku mwenyewe ulikuwa unapita tuu.!!!!! Kwa wadada walifuata mali na na wanaowapenda sio walliowaoa jamen!!
 
Wanajamii, hivi inakuwaje pale unapokuta mtu kaoa au kaolewa, lakini bado anamng'ang'ania mpenzi wake wa zamani kabla hajaingia katika ndoa? Je hii ni afya kweli katika mapenzi? Kwanini usiridhike na huyo aliyekuoa au uliyemwoa? Nawakilisha!!!!!!

Duuu!!! Umeniwahi na hii mada Sinai!!! Thanx.
 
Wanajamii, hivi inakuwaje pale unapokuta mtu kaoa au kaolewa, lakini bado anamng'ang'ania mpenzi wake wa zamani kabla hajaingia katika ndoa? Je hii ni afya kweli katika mapenzi? Kwanini usiridhike na huyo aliyekuoa au uliyemwoa? Nawakilisha!!!!!!

kwa mantiki yako kutafuta wapenzi wapya afta ndoa ni afya na ni poa. kosa ni kugeuka nyuma! that might be true unajua
tena matapishi.
 
Wanajamii, hivi inakuwaje pale unapokuta mtu kaoa au kaolewa, lakini bado anamng'ang'ania mpenzi wake wa zamani kabla hajaingia katika ndoa? Je hii ni afya kweli katika mapenzi? Kwanini usiridhike na huyo aliyekuoa au uliyemwoa? Nawakilisha!!!!!!
suala hili lipo tena kwa wanandoa wengi, na hii inatokana na maagano yanayofanyika kati ya wapenzi, wapenzi wengi wanapokuwa kwenye mahusiano hutamka mambo mengi na ahadi nyingi ambazo huenda kukaa moyoni, maagano haya watu wengi hawayavunji mara baada ya kuamua kuoa hivyo kusababisha kutangatanga na kumkumbuka mpenzi wa zamani. Fikiria mpenzi anapokuandikia message kuwa "yeye na wewe ni wa kuzikana" haya maneno huenda kuishi moyoni na inakuwa ni ngumu sana kuyaondoa. Kumbuka maneno mliyotamkiana na mpenzi wako wa zamani na ujiulize kama umeshawahi kuyakana. Ila haya ni mambo ya kiroho sio watu wengi wanayaelewa.
 
humu jf kuna watu wanafiki sana mada keshaisoma af anachangia kuiponda mara ooh leo mambo ya sex mara oooh leo mambo ya bf na gf................ka hamna cha kuchangia mnachapa raaaaaaaaaaaaapa
 
suala hili lipo tena kwa wanandoa wengi, na hii inatokana na maagano yanayofanyika kati ya wapenzi, wapenzi wengi wanapokuwa kwenye mahusiano hutamka mambo mengi na ahadi nyingi ambazo huenda kukaa moyoni, maagano haya watu wengi hawayavunji mara baada ya kuamua kuoa hivyo kusababisha kutangatanga na kumkumbuka mpenzi wa zamani. Fikiria mpenzi anapokuandikia message kuwa "yeye na wewe ni wa kuzikana" haya maneno huenda kuishi moyoni na inakuwa ni ngumu sana kuyaondoa. Kumbuka maneno mliyotamkiana na mpenzi wako wa zamani na ujiulize kama umeshawahi kuyakana. Ila haya ni mambo ya kiroho sio watu wengi wanayaelewa.
Kiroho zaidi au?
 
Back
Top Bottom