Inakwaje Bingwa wa shirikisho na Super Cup Africa hayupo 3 Bora?

Umeongea huku ukijipinga mwenyewe katika maelezo yako.

Umesema shirikisho ni kombe la chini sana, sasa inakuaje kocha aliyeshiriki mashindano ya chini ashindanishwe kwenye tuzo?
Ulikuwa unaleta ubishi kwenye issue ya Benchikha, nadhani baada ya kuona kilichomtokea Mayele utakuwa umenielewa. Mfungaji bora wa shirikisho ameenda kushindwa na mtu ambaye siyo mfungaji bora wa klabu bingwa.

Hizi tuition ninazokupa kila siku inabidi uanze kunilipa sasa.
 
Wewe ni lini utakuwa unatumia akili hata kwa asilimia 10 tu?
Ulisikia wanashindana ufungaji bora au mchezaji bora wa msimu, kama ingekuwa ni ishu ya magoli, mbona mfungaji bora wa klabu bingwa alikuwa kwenye kinyang'anyiro (Peter Shalulile) na amekosa hiyo tuzo pamoja na kuwepo kwenye top 3 ya wania tuzo. Hivyo utambue kuwa hakuangalia vigezo vya magoli pekee.
 
Ni kweli kabisa unachosema na kigezo mojawapo ndiyo hicho cha ulishiriki mashindano gani. Shalulile hakuchukua ubingwa kwa hiyo hilo lilimpunguzia maksi matokeo yake wameenda kumpa mwingine aliyechukua ubingwa wa klabu bingwa ila ana magoli machache kuliko aliyekuwa na magoli mengi kwenye shirikisho.
 
Ulikuwa unaleta ubishi kwenye issue ya Benchikha, nadhani baada ya kuona kilichomtokea Mayele utakuwa umenielewa. Mfungaji bora wa shirikisho ameenda kushindwa na mtu ambaye siyo mfungaji bora wa klabu bingwa.

Hizi tuition ninazokupa kila siku inabidi uanze kunilipa sasa.
Afadhari bata ana akili kuliko wewe tangu lini top scorer akatafutwa kwa kupigiwa kura?
 
Kwenye vilabu bora hayupo Bingwa wa Shirikisho ambaye ndo huyo huyo bingwa wa Super Cup Africa (USM Algiers).

Lakini kwenye makocha 3 bora kocha wao yupo.

Vigezo gani wameangalia hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hangaika na takwimu za CAF mkuu hao wengine Ni waandishi tu mtu unaweza kutoa kitu kidogo ukaandikwa hata wa kwanza.

Uliona wapi Yanga Ni bora kuliko bingwa wa shirikisho.

CAF ndiyo wenye mpira wa Africa na vigezo vyao viko wazi na vinaeleweka.
 
Wewe naye ndio uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo?
Kombe la CC ni la maluza, kwanini kocha aliyechukua kombe la maluza, anawania tuzo za CAF?
Kwasababu Hilo kombe la maluza limeanzishwa na kusimamiwa na CAF.
 
Back
Top Bottom