Inama Diamond kamuimbia Zari!?

Kwa mara ya kwanza nausikia huu wimbo kwenye ile clip yupo na iyobo, moja kwa moja nlijua huu wimbo katungiwa Iyobo ili kumfariji baada ya kumwagana na aunt (maana ndo kipindi hichohicho ambacho Aunt alikuwa akibanjuka na kiserengeti flan huku ikisemekana moze kaachwa) na sio Zari kama thread inavodai...

Hivi masikio yenu yanasikia kama yangu?
 
thread title ina question mark hivyo una comment unachohisi wewe ni sahihi.did you agree or not
 
hata hivyo mwana mama zari amesema amejifunza kusamehe na atawaomba na watoto wake(tiffah&nillan)wamsamehe baba yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…