Ngunya1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 439
- 698
Huwa nafikiria sana sipati majibu mbunge wangu amekuwa mbunge tangu 2000 mpka leo 2022 na mwaka 2020 alipita bila kupingwa inamaana jimbo zima ni yeye tu mwenye sifa zakuwa mbunge ?ina maana anauchungu sana na hili jimbo ndo maana hataki kuachia ubunge ifike mahala hawa watu wawe na ukomo wa kuwa wabunge ili waingie watu wengine wenye mawazo mapya nawasilisha huku na kunywa bia maana inaumiza sana mtu yuleyule kila uchaguzi