Private hua hawapangiwagi chakuajiri....ukiona ivyo ujue watanzania wengi kwenye usimamizi wa fedha tuna shidaKwema wakuu
Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba ,hapa Tanzania amekosekana mzawa anayeweza kuwa Senior accountant kwenye hiyo kampuni mpaka wakaokoteze huko India?
Sheria za vibali vya ajira kwa wageni zinasemaje?
Mimi nadhani hoja ya msingi ni kutafuta chanzo cha kwanini wachukue wahasibu nje wakati ndani tunao..Kwema wakuu
Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba ,hapa Tanzania amekosekana mzawa anayeweza kuwa Senior accountant kwenye hiyo kampuni mpaka wakaokoteze huko India?
Sheria za vibali vya ajira kwa wageni zinasemaje?
Halafu wanakuja humu hwa viazi huko wanajiita experts , too bad wengi wao wanafundishwa kazi na wabongo huko makazini , halafu wanapewa benefits na mishahara mikubwa ambayo hata wabongo hawanusi hata nusu .Kwema wakuu
Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba ,hapa Tanzania amekosekana mzawa anayeweza kuwa Senior accountant kwenye hiyo kampuni mpaka wakaokoteze huko India?
Sheria za vibali vya ajira kwa wageni zinasemaje?
Ni mambo ya ovyo , Tanzania ni ndio kuna Huu uboya , nenda kafungue biashara au kampuni hapo Kenya Tu uone ni lazima top positions wawepo wazawa Ila Sisi Sheria ziko too loose na zisizofocus kuwanufaisha raia ,kila nchi wanaangalia maslahi ya raia wao si tumezubaa Tu kama mazobaMimi nadhani hoja ya msingi ni kutafuta chanzo cha kwanini wachukue wahasibu nje wakati ndani tunao..
1. Wabongo wengi kwenye swala la ela huwa tuna shida sana.. upigaji mwingi na uzembe.
2. Makampuni mengi ya nje ni nadra sana kumkuta mbongo kwenye top positions mara nyingi ni kama njia ya kupeana suport wao kwa wao lakini pia ni kutokana na matatizo yetu wabongo hasa kwenye uaminifu na pesa..