LuCKNOVICH
Senior Member
- Jan 22, 2011
- 104
- 11
Nimepita mahala nikakuta my carpet na wadada wengine wanapiga story,kilichoniuma zaidi ni kusikia mimi naitwa buzi.na aliyetamka hivyo ni wife.Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
Nimepita mahala nikakuta my carpet na wadada wengine wanapiga story,kilichoniuma zaidi ni kusikia mimi naitwa buzi.na aliyetamka hivyo ni wife.Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
Acha uongo wako wewe. Vinginevyo si mkeo bali ni hawara. Sidhani kama kuna mwanamke aliye kwenye ndoa anaweza kumwita mumewe buzi. Hii ni fabricated story.
Thanks WakumwituHahahahaaaa wife wako anakuita ww buzi? Lakini si mara ya kwanza kusikia wake za watu wanawaita waume zao mabuzi. Misemo ya mtaani hii inatupeleka kubaya. Mimi nafikiri njia nzuri mvae na umwambie akueleze sababu ya yeye kukuita ww buzi. Ukimuacha utakuwa unafuga ugonjwa ambao hautatibika hapo baadae. Sijasema upigane, muulize kwa hekima tuu. NA kama ana akili sawasawa hatoludia kukuita ww buzi.
hahahaaa pole kwa kuitwa mbuzi! ila kwa sababu we ni mume basi we utakua beberu ye atakua mrs beberu, au?
Itakuwa vizuri ukimuuliza si ajabu ulisikia vibaya....Pia inawezekana ulichokisikia ndicho hicho alichotamka labda ukimuuliza maelezo atakayokupa yatakuridhisha na hivyo kuondoa wasiwasi/hasira za kuitwa BUZI na mkeo.
Mi naamini ni kweli....sababu nimeshawahi kukutana na mkasa unaofanana na huo....ndoa zina mambo,uhadithiwe tu ndugu yangu mazingira.Acha uongo wako wewe. Vinginevyo si mkeo bali ni hawara. Sidhani kama kuna mwanamke aliye kwenye ndoa anaweza kumwita mumewe buzi. Hii ni fabricated story.
Mi naamini ni kweli....sababu nimeshawahi kukutana na mkasa unaofanana na huo....ndoa zina mambo,uhadithiwe tu ndugu yangu mazingira.