Inanifikirisha sanaa!

Inanifikirisha sanaa!

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Wakuu hii imekaaje? Unakutana na dem mnaongea vzur tu mnabadilishana mawasiliano..baada ya muda unaanza kurusha nyavu ( tongozo) mtoto anaona msg watsap na anasoma (blue tick) ila hajibu chochote! Hua wanamaanisha nn hawa wanawake? Nina experience ya she kama tatu hivi!
 
Unataka ujibiwe? Muandikie hivi;

'Hivi jina kwenye line yako imesajiliwa HELLEN MAGESA?'

Atakujibu, 'Yes, why?'

Muandikie
'Nilitaka nijihakikishie ili nisikosee siku nikitaka kukutumia hela baada ya kunikubalia'.

Nakuapia, hizo chattings zitakuwa za moto. Na hela utaombwa siku hiyo hiyo.

Kila la kheri.
 
Sasa mpaka unapewa namba,maanake mmeishakutana ana kwa ana,sasa kwanini usipige tongozo ana kwa ana,uso kwa uso,badala ya kujificha kwenye keyboards za cm!?
Cm zimekuja nchini miaka ya 95,mpaka mwaka 1999,simu zilikuwa chache sana hata hizo huduma zingine za whatsaap hqzikuwepo,mnafikili baba Zenu tulitongoza vipi?
Siku hizi vijana hata kufanya maongezi hawawezi,maana muda mwingi ni kuchart kwenye cm,
 
Domo zege asee!
 
Usichoelewa hapo ni nini blaza, maana ake kakufungia vioo...... au mpaka akwambia kwa maneno useme ana madharau?? JIONGEZE, temana nae.
 
Unataka ujibiwe? Muandikie hivi;

'Hivi jina kwenye line yako imesajiliwa HELLEN MAGESA?'

Atakujibu, 'Yes, why?'

Muandikie
'Nilitaka nijihakikishie ili nisikosee siku nikitaka kukutumia hela baada ya kunikubalia'.

Nakuapia, hizo chattings zitakuwa za moto. Na hela utaombwa siku hiyo hiyo.

Kila la kheri.
Umekosea hiyo msg ya pili...inatakiwa message ya pili isitoke kwako bali itoke mpesa
 
Inategemea na namna na aina ya sms unazomtumia. Mfano kila siku unasalimia tuuuu na kumuuliza umekula? unategemea nini hapo
 
Wakuu hii imekaaje? Unakutana na dem mnaongea vzur tu mnabadilishana mawasiliano..baada ya muda unaanza kurusha nyavu ( tongozo) mtoto anaona msg watsap na anasoma (blue tick) ila hajibu chochote! Hua wanamaanisha nn hawa wanawake? Nina experience ya she kama tatu hivi!
Huwa wanasubiria Rangi 3 ili zitimie 4 kama Bendera ya taifa
 
Unataka ujibiwe? Muandikie hivi;

'Hivi jina kwenye line yako imesajiliwa HELLEN MAGESA?'

Atakujibu, 'Yes, why?'

Muandikie
'Nilitaka nijihakikishie ili nisikosee siku nikitaka kukutumia hela baada ya kunikubalia'.

Nakuapia, hizo chattings zitakuwa za moto. Na hela utaombwa siku hiyo hiyo.

Kila la kheri.
Hawa ndo mabaharia sasa maana wana uzoefu na kazi zao.
 
Back
Top Bottom