Sasa mpaka unapewa namba,maanake mmeishakutana ana kwa ana,sasa kwanini usipige tongozo ana kwa ana,uso kwa uso,badala ya kujificha kwenye keyboards za cm!?Wakuu hii imekaaje? Unakutana na dem mnaongea vzur tu mnabadilishana mawasiliano..baada ya muda unaanza kurusha nyavu ( tongozo) mtoto anaona msg watsap na anasoma (blue tick) ila hajibu chochote! Hua wanamaanisha nn hawa wanawake? Nina experience ya she kama tatu hivi!
Domo zege asee!Sasa mpaka unapewa namba,maanake mmeishakutana ana kwa ana,sasa kwanini usipige tongozo ana kwa ana,uso kwa uso,badala ya kujificha kwenye keyboards za cm!?
Cm zimekuja nchini miaka ya 95,mpaka mwaka 1999,simu zilikuwa chache sana hata hizo huduma zingine za whatsaap hqzikuwepo,mnafikili baba Zenu tulitongoza vipi?
Siku hizi vijana hata kufanya maongezi hawawezi,maana muda mwingi ni kuchart kwenye cm,
Umekosea hiyo msg ya pili...inatakiwa message ya pili isitoke kwako bali itoke mpesaUnataka ujibiwe? Muandikie hivi;
'Hivi jina kwenye line yako imesajiliwa HELLEN MAGESA?'
Atakujibu, 'Yes, why?'
Muandikie
'Nilitaka nijihakikishie ili nisikosee siku nikitaka kukutumia hela baada ya kunikubalia'.
Nakuapia, hizo chattings zitakuwa za moto. Na hela utaombwa siku hiyo hiyo.
Kila la kheri.
[emoji1][emoji1]Eti umekula? Hahaa..mimi babantilie wake?
Huwa wanasubiria Rangi 3 ili zitimie 4 kama Bendera ya taifaWakuu hii imekaaje? Unakutana na dem mnaongea vzur tu mnabadilishana mawasiliano..baada ya muda unaanza kurusha nyavu ( tongozo) mtoto anaona msg watsap na anasoma (blue tick) ila hajibu chochote! Hua wanamaanisha nn hawa wanawake? Nina experience ya she kama tatu hivi!
Hawa ndo mabaharia sasa maana wana uzoefu na kazi zao.Unataka ujibiwe? Muandikie hivi;
'Hivi jina kwenye line yako imesajiliwa HELLEN MAGESA?'
Atakujibu, 'Yes, why?'
Muandikie
'Nilitaka nijihakikishie ili nisikosee siku nikitaka kukutumia hela baada ya kunikubalia'.
Nakuapia, hizo chattings zitakuwa za moto. Na hela utaombwa siku hiyo hiyo.
Kila la kheri.