October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Nina mpango wa kuanza kufanya biashara na mtaji minimum 1.5M ila kwasasa sina asije kukuongopea mtu eti mtaji sio lazima pesa uwongo, yaani nimekaa nimepiga mahesabu jinsi yakupata icho kihasi itanichukua mwaka mzima wa kufanya kazi na maumivu ya ku-save pesa kila mwezi kihasi cha 100,000/=.
Aya maisha yanakinaisha sana muda mwengine, yana kinaisha sana.
Aya maisha yanakinaisha sana muda mwengine, yana kinaisha sana.