Inaniitaji mwaka mzima kupata mtaji wa 1.5M haya maisha mbona yanakinaisha hivi

Inaniitaji mwaka mzima kupata mtaji wa 1.5M haya maisha mbona yanakinaisha hivi

ipo fair vizuri tu mkuu kama yupo mtandaon kupost bullsi=hit tu lazima 1.5 iwe ngumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wa matipo Vecha umekuja mpaka huku Mkuu siunisamee billionaire.
 
Nina mpango wa kuanza kufanya biashara na mtaji minimum 1.5M ila kwasasa sina asije kukuongopea mtu eti mtaji sio lazima pesa uwongo, yaani nimekaa nimepiga mahesabu jinsi yakupata icho kihasi itanichukua mwaka mzima wa kufanya kazi na maumivu ya ku-save pesa kila mwezi kihasi cha 100,000/=.

Aya maisha yanakinaisha sana muda mwengine, yana kinaisha sana.
Mkuu kwani mpaka sasa umefanya kazi kwa miaka mingapi? Na katika miaka hiyo umeweza kusave kiasi gani?
 
Back
Top Bottom