October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Ila mchicha haujawahi kuwa mbuyuNdondo si chururu hata mchicha ulianza kama mbuyu.
Anza saving
Huenda "Mbuyu ilianza Kama mchicha" mkuuNdondo si chururu hata mchicha ulianza kama mbuyu.
Anza saving
Ila mchicha haujawahi kuwa mbuyu
Asante narekebisha mkuuHuenda "Mbuyu ilianza Kama mchicha" mkuu
Dah....naona umepanik maan....tafuta pesa...acha kulialia 😎Nina mpango wa kuanza kufanya biashara na mtaji minimum 1.5M ila kwasasa sina asije kukuongopea mtu eti mtaji sio lazima pesa uwongo, yaani nimekaa nimepiga mahesabu jinsi yakupata icho kihasi itanichukua mwaka mzima wa kufanya kazi na maumivu ya ku-save pesa kila mwezi kihasi cha 100,000/=.
Aya maisha yanakinaisha sana muda mwengine, yana kinaisha sana.
Kupewa na ndugu haa[emoji134][emoji134] bilashaka wewe unatoka familia za kina MO, Bakhresa yaani mtaji akupe ndugu ndio maana kumbe zile kauri za mujiajiri munatoaga kirahisirahisi.Mkuu, kama unaamini wazo lako jaribu kutafuta mtaji kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Kwakuwa una kazi, utakuwa unalipa kupitia kazi na hiyo biashara utakayoanziasha.
Faida yake ni kwamba itakusaidia kuanza mapema wazo lako kabla halijapitwa na wakati.
Pia kama utafanikiwa kukopa kwa watu hao utaepuka kulipa riba kwenye biashara ambayo hujajua performance yake.
Ni hayo tuu mkuu.
Sina biashara nilitageti nikikusanya nitaamua yakufanya Idea is nothing too.Na ukishamaliza kusave hivyo vilaki laki vyako utakuta biashara uliyopanga kuifanya imekuwa yeboyebo
Bado nafanya mkuu.Biashara zako za kukodisha CD umeacha?
Ku save ndio msingi wabkuoata/kukuza mtaji
We mwanamke kunywa Pepsi nakuja kulipa.
Sijaelewa hapa mkuu.Uhalisia ni mgumu sana(mchungu kumeza). Biashara inayosave siyo ya laki moja.
Mambo mengine hayaelezeki, hizi business skills kwenye mitaji ya laki tunadanganyana tu.
Biashara ndogo aje sijaelewa hapa.sasa biashara ndogo mpaka upate milioni moja na nusu ni leo, ?