Inaniitaji mwaka mzima kupata mtaji wa 1.5M haya maisha mbona yanakinaisha hivi

Ni rahisi sana kumshauri mtu kuhusu kujiajiri, lakini inapofika kwenye uharisia ni ngumu. Kuna watu utawasikia vijana wasilaumu kua hakuna ajira wajiajili wenyewe, lakini kuna kipindi kuna watumishi waliondolewa kazini wakaanza kulaumu kua walikua wanategemewa kwa nini wasitumie huo ushauri wanaoutoa kwa vijana.
 
October man Unakaa Mbagala Au Kongowe ?

Naweza Kupata Frame Nzuri/Ofisi Kwa Pesa Ngapi ?
Kwa mbagala ndani huku ni 35,000/= mpaka 50,000/= kwa strategic area rangitatu, zakhiem na kizuiani 100,000/= mpaka 150,000/= kutrkoea sehemu izo kuingia ndani kidogo 80,000/= around.
 
Ndugu wakupe mtaji?? Hata mzazi wako anaweza kuona niheri akahonge kuliko kukupa ukaifanyie mtaji.
Kitu pekee wanachoweza kukupa kirahi tena bila yakuwaomba ni mikoba ya uganga na uchawi tu
 
Sometimes unakua real sana nigger,shida yangu na wewe hua ni uandishi wako tu.
 
Ndugu wakupe mtaji?? Hata mzazi wako anaweza kuona niheri akahonge kuliko kukupa ukaifanyie mtaji.
Kitu pekee wanachoweza kukupa kirahi tena bila yakuwaomba ni mikoba ya uganga na uchawi tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Daaah hii dunia haiko fair kabisa, kuna mtu anatafuta 1.5m kwa mwaka ili afanye biashara wakati wengine tuna pesa ila hatuoni biashara ya kufanya
 
Manengelo said:
Anza na biashara yenye mtaji mdogo kbs... (toa aibu hapa) uza miwa n.k..

usidhani kila aliyeko juu amepewa mtaji... HAPANA!

Hii ndo iliyonifanya kusema siku moja kwamb "NAKUPENDA BILA SABABU" na si vinginevyo!

haupo nyuma kwenye masuala kam haya.

Malkia wa nguvu JF!

Siku nitakwambia nilivyoanza zero
Share nasi manengelo
 
Daaah hii dunia haiko fair kabisa, kuna mtu anatafuta 1.5m kwa mwaka ili afanye biashara wakati wengine tuna pesa ila hatuoni biashara ya kufanya
Kuna optimistic and pessimistic people, Hatuwezi fanana.
 
Daaah hii dunia haiko fair kabisa, kuna mtu anatafuta 1.5m kwa mwaka ili afanye biashara wakati wengine tuna pesa ila hatuoni biashara ya kufanya
ipo fair vizuri tu mkuu kama yupo mtandaon kupost bullsi=hit tu lazima 1.5 iwe ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…