[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wa matipo Vecha umekuja mpaka huku Mkuu siunisamee billionaire.ipo fair vizuri tu mkuu kama yupo mtandaon kupost bullsi=hit tu lazima 1.5 iwe ngumu
plz share na sisi wengne wajifunze😉😉😉pepthi mm kwan mtoto😉!niagize wine sema😋!unanipa mzuka sana wa kupambana bas tu!siku nitakuambia nilivyoanza na zero!
hongeraPambana nilianza na 170000 . Gunia za mkaa 130000 pumba 40000 gunia mbili Sasa najitegemea . Nina viwanja maduka mawili na vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani mpaka sasa umefanya kazi kwa miaka mingapi? Na katika miaka hiyo umeweza kusave kiasi gani?Nina mpango wa kuanza kufanya biashara na mtaji minimum 1.5M ila kwasasa sina asije kukuongopea mtu eti mtaji sio lazima pesa uwongo, yaani nimekaa nimepiga mahesabu jinsi yakupata icho kihasi itanichukua mwaka mzima wa kufanya kazi na maumivu ya ku-save pesa kila mwezi kihasi cha 100,000/=.
Aya maisha yanakinaisha sana muda mwengine, yana kinaisha sana.