Inanitisha nisaidieni!!!!!!!!!

pole sana mtanzania mwenzangu na mwana jamii mwenzangu,,,,ninachoweza kukushauri ni kwamba jikaze uonane naye ila iwe sehemu ya wazi na uambatane na rafiki zako kama watatu au wanne,,pia usisahau kumwomba mungu juu ya hilo ili akulinde kwa kila jambo.

 

Amen!!
 
Pole sana, Jiamini wewe umeshakuwa mtu mzima na umuombe sana Mungu akuongoze yeye ndie anaye weza.
kwanza jiulize amepata wapi no zako za simu mpaka kukupigia, huwenda na yeye hajisikii vizuru kwa kitendo
alichokuwa anataka kukifanya, wewe nenda ukamsikilize ila usiende peke yako tafuta marafiki au ndugu wa karibu
uwe nao hayo maeneo mtakayokutana. ili uweze kuishi kwa amani. usipo onana nae kwamwe hutokaa maisha ya amani wala raha
kila siku kwako itakuwa ni kuwazatuuu.
 
Loooo jamani haina maana ya kuonana na mtu ambaye hakuona thamani yako kama mtoto wake, sasa hivi ndio ataonaje umuhimu wako, endelea na maisha yako achana naye, hata Mungu hatakuhukumu kwa hilo

gaga where have you been hiding yourself?
 
Pole sana kwa mkasa huu.Lakin unaonaje km huyo jamaa angekuja unakoishi ww? haya ni mawazo yangu.
 
Ezan
tulia kwanza mpaka utakapojiona uko tayari kuonana na kuongea nae,unaweza ukaenda haraka then sabbu ya kupanic na kumuogopa ukashindwa kuongea naye, naye anaweza asikwambie ukweli wote, kwa kuogopa reaction yako
 

riwaya.......!
 

riwaya...................!!!!!
 
Kwa hesabu za haraka Baba yako atakuwa na adult age (mtu mzima sasa), dhahiri atakuwa ame-regret na at that age wengi huwa wanatafuta nguzo za kuegemea kwani jua ndio linazama, Ndembwela Ngunangwa aiyekuwa Mbunge wa Njombe alikuwa na swali moja tu ALIKWINA???? (ikimaanisha alikuwa wapi muda wote huo) kuna binti hapa mtaani kwangu aliambiwa kwamba alipatikana baada ya baba yake kumbaka mama yake na ndio vile hakutaka kuoneshwa baba yake kwa hasira ya mama, akang'ng'ania na baba kumuita Dar (to make a story short) , hivi ninavyoandika baba yule alimbaka na binti kuamua kurudi kwa mama yake Manyara kwa uchungu......(nilipomuambia nimchukulie baba yake hatua akabadili na namba ya simu kwa kuogopa maana anasema alimtishia sana (huenda hata ameamuambukiza UKIMIWI) Mimi ningekushauri ikiwa utalazimika sana kumuona hapo hakuna ujanja hata ukichukua rafiki au polisi kafara inatumia nguvu za giza unless achukue mabaunsa kukunasa thus ni difficult kuchomoka.........sorry nimekuwa negative sana but huo ni mtazamo wangu

Chukua akili (ushauri) za wana JF changanya na za kwako...........miluzi mingi humpoteza MBWA
 
Aende lakini pia arudi kutuhabarisha yaliyojiri huko,asiogopeMungu atakuwa pamoja naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…