Inaniuma, mpenzi wangu anaolewa

Inaniuma, mpenzi wangu anaolewa

Hiyo inaitwa character development.Huku Sasa ndio kupigwa na kitu kizito kichwani.

Ila pole.
 
Wana MMU naombeni mnipe tu pole.

Mie ni mtu nisiyeumizwa na mambo ya mahaba, lakini nashangaa kuona huyu single mother niliyekutana nae kwenye pilika za maisha mkoani Mbeya, anaolewa [emoji26].

Huyu single mother mie nilikuwa ni msafiri na mpitaji ili nililazimika kukaa baada ya kusema amenasa ujauzito. Sasa katika pilika pilika za kulea ujauzito, nikajikuta napata hisia [emoji3].

Ila baada ya kugundua kuwa naletewa mapicha picha si ndio nikakapiga chini. Ila si haba, kamekula sana vijisenti vyangu vya kila mwezi.

Sasa nimeona picha ze send off yake nimeumiaje? Sijui niende nikafanye vurugu [emoji847]. Yaani hapa hata sijielewi. Nahisi siku yangu leo imekuwa mbaya kabisa.
Wewe unaumwa si bure,sasa demu ulishampiga chini,leo eti unaumia kisa anaolewa,acha hizo bhana Wanaume huwa tunakuwa na misimamo mkuu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Wana MMU naombeni mnipe tu pole.

Mie ni mtu nisiyeumizwa na mambo ya mahaba, lakini nashangaa kuona huyu single mother niliyekutana nae kwenye pilika za maisha mkoani Mbeya, anaolewa [emoji26].

Huyu single mother mie nilikuwa ni msafiri na mpitaji ili nililazimika kukaa baada ya kusema amenasa ujauzito. Sasa katika pilika pilika za kulea ujauzito, nikajikuta napata hisia [emoji3].

Ila baada ya kugundua kuwa naletewa mapicha picha si ndio nikakapiga chini. Ila si haba, kamekula sana vijisenti vyangu vya kila mwezi.

Sasa nimeona picha ze send off yake nimeumiaje? Sijui niende nikafanye vurugu [emoji847]. Yaani hapa hata sijielewi. Nahisi siku yangu leo imekuwa mbaya kabisa.
Tafuta bar iliyo karibu na wewe piga maji haswa, na sema piga maji mpaka muhudumu akuambie basi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom