Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlio kuwa hamjampata amekusudia sasa kasikia ana kazi nzuri na mshahara wake babkubwa demu kamua kumlilia au nimekosea thread poster.
Mimi nakushauri kama ulisha mtema basi na wengine wameisha mtema na wengine wamemtemea sana tena sana, hivyo usi slow down endelea na safari yako....wasichana wako wengi tu usiogope, safari sio kifo....utafika tu kwa wengine wazuri kuliko huyo, kule mbele utakutana na new model afu totoz za siku hzi hazili sana, uta save sana pesa ya mlo :biggrin:
Wanajamii wenzangu ninatatizo linaniumiza kichwa nilikuwa na demu wng 2liishi nae muda ikafikia akaanza kubadilika nikaona nimteme sasa yapita miaka 2 nashangaa siku hizi ananilazimisha turudiane coz amesikia naona,naomba ushauri wenu mi ni wakiume