Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Naona nimekugusa pabaya kweliiiiiiii,maanake so kutetea hoja huko,tena uache kabisa hiyo tabia yako mbaya.
Oyaaa acha longolongo jibu PM yangu basiiiii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona nimekugusa pabaya kweliiiiiiii,maanake so kutetea hoja huko,tena uache kabisa hiyo tabia yako mbaya.
Pole aisee, amekupa
mateso makubwa ya moyo! Nakushauri kwa kipindi hiki ondoa mawazo kwake
na endeelea kujitahidi kukata mawasiliano naye. Pia usijilaumu kwa yale
mema uliyomfanyia, maana uliyafanya kwa nia njema pasipo kujua kuwa yeye
alikuwa anakutumia kwa manufaa yake binafsi. Inawezekana Mungu
amekuepusha jambo kutokana na kitendo alichokufanyia.
Nakuombea heri Mungu akutie nguvu na endelea kuvumilia ipo siku utakuja
kumpata atakeyekupenda kwa dhati.
Wana JF.Naomba ushauri wenu.Nilikuwa na ex boyfriend ambaye tulikuwa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.Nilimpenda sana huyu kijana.Nilijitolea muda wangu na nilifanya kila mbinu aweze kufanikiwa katika maisha yake nikiamini ni mume.Nilimkuta na chumba kimoja lakini ndani ya kipindi tulichokaa, aliweza kufungua biashara, kununua gari na kuhamia nyumba ya self container. Alikuwa muwazi sana kwangu na alinieleza aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine lakini kutokana na tabia za yule mwanamke aliamua kuachana nae.
Kadiri muda ulipokuwa unakipimbia, nilihitaji tuwe wawazi kwa wazazi lakini yeye aliniambia bado sijajipanga.Nilimvumilia na nikaendelea kuwa nae.Baada ya muda, jumapili nimekaa home napokea simu yake.Nilijua natolewa out kumbe masikini ya Mungu nataarifiwa kuwa mwenzio nataka kuoa hivi karibuni hivyo nimeona ni vizuri kukufahamisha.Kwa kweli niliumia sana kiasi ambacho siwezi kusimulia.
Ilikuwa ni ngumu kuamini anayoongea lakini baada ya muda na uchunguzi nikagundua ni kweli na aliyemuoa ni yule girl friend wake wa kwanza.Marafiki zake hawakuamini, na wengine wamemkimbia kabisa.Cha ajabu na cha kushangaza ni kwamba ameoa lakini kila siku ananipigia simu na kunitumia e mail.Kwa kweli inanikera sana.Nimebadilisha line lakini wapi.Sijui aliipata wapi line yangu mpya.Nimfanyaje?
wana jf.naomba ushauri wenu.nilikuwa na ex boyfriend ambaye tulikuwa kwenye uhusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.nilimpenda sana huyu kijana.nilijitolea muda wangu na nilifanya kila mbinu aweze kufanikiwa katika maisha yake nikiamini ni mume.nilimkuta na chumba kimoja lakini ndani ya kipindi tulichokaa, aliweza kufungua biashara, kununua gari na kuhamia nyumba ya self container. Alikuwa muwazi sana kwangu na alinieleza aliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine lakini kutokana na tabia za yule mwanamke aliamua kuachana nae.
Kadiri muda ulipokuwa unakipimbia, nilihitaji tuwe wawazi kwa wazazi lakini yeye aliniambia bado sijajipanga.nilimvumilia na nikaendelea kuwa nae.baada ya muda, jumapili nimekaa home napokea simu yake.nilijua natolewa out kumbe masikini ya mungu nataarifiwa kuwa mwenzio nataka kuoa hivi karibuni hivyo nimeona ni vizuri kukufahamisha.kwa kweli niliumia sana kiasi ambacho siwezi kusimulia.
Ilikuwa ni ngumu kuamini anayoongea lakini baada ya muda na uchunguzi nikagundua ni kweli na aliyemuoa ni yule girl friend wake wa kwanza.marafiki zake hawakuamini, na wengine wamemkimbia kabisa.cha ajabu na cha kushangaza ni kwamba ameoa lakini kila siku ananipigia simu na kunitumia e mail.kwa kweli inanikera sana.nimebadilisha line lakini wapi.sijui aliipata wapi line yangu mpya.nimfanyaje?
Akili kama hizi ni za hovyo kuliko uhovyo wenyewe.Mtu anakosa ustaarabu na anadharau hisia zako kwa kiasi hiki?
"
Watu wengine wakipata mtu wa kuwajali wanakua kama wajinga.Huyu jamaa sijui alikua anataka nini.
"
Usimkaribie wala kuthubutu kurudiana nae,dada usihofu wanaume wanaokufaa ni wengi na utapata mtu alie sahihi kwako.
"
Shame on him!
Daaaaaah! Naona ndo umeanza na mkwara kabisa wa kuniita "Bwana mdogo". Tatizo baba alichelewa kuninunulia PC ndo maana nilichelewa kujiunga JF. Sawa bwana mkubwa, nimekuelewa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Dawa ya moto ni moto. Kama unampenda na anakutafuta mkubalie ubinjuke kwa raha zako. Hakikisha mpaka mkewe anajua ili ampige chini. Akishapigwa chini na mkewe nawe unampiga chini.
Nlishamfanyiaga shori mmoja enzi hizo aliponifanyia unaa kama huu.
Dawa ya moto ni moto. Kama unampenda na anakutafuta mkubalie ubinjuke kwa raha zako. Hakikisha mpaka mkewe anajua ili ampige chini. Akishapigwa chini na mkewe nawe unampiga chini.
Nlishamfanyiaga shori mmoja enzi hizo aliponifanyia unaa kama huu.
Hayatuhusu. Pelekea umbeya wako kwenye majukwaa mengine. siyo humu ndani. Kama huna cha kuandika, tulia kimya, nyamaza kabisa kabisa. Soma michango ya watu wengine. Unajiabisha tu hapa ndani.