Inaogopesha sana

Inaogopesha sana

Daaah aiseee! Hii video ni hatari sana!
 
Na bila shaka hapo ni mahali flani ndani ya Tanzania
 
Sisi wa freebasics tunapataje huu uhondo?
 
Wiki kama mbili hivi kuliripotiwa shambulio hili likihusisha mabinti wawili, kwa maana ya mtekeleza shambulio alikua binti na alifanya hivi kwa sababu ya wivu wa mapenzi
 
Wiki kama mbili hivi kuliripotiwa shambulio hili likihusisha mabinti wawili, kwa maana ya mtekeleza shambulio alikua binti na alifanya hivi kwa sababu ya wivu wa mapenzi
Ndo Ile mmoja kakatwa nyuma ya shingo? Kisa ilisemekana ni mapenzi kuchukuliana bwana
 
Back
Top Bottom