Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje kama ajafa mbona anaonekama keshakufa sema kama wana mweka sawa Kwa kidogo Kwa ajili ya msibaEthics za kazi ziko wapi siku hizi huyu alievunjisha hii clip yamfaa kurudi darasani upya......
Shenzy type .....
Pole yake huyo aliekatwa shingo na amshukuru Mungu sana hiyo cut haikugusa cervical bones maana tungekuwa tunaongea mengine hapa .....
Ndo maana nahisi huyo Dada keshakufa sidhani atakuwa mzima chumba cha upasuaji madaktari wanaziba hadi midomoNaona wanacheka na kufurahi hawajui kuwa saliva ni moja wapo ya contaminants
Hata uvaaji wao sijaupenda kwa kweli naona principles of surgery hasahasa kwenye preparation of a patient na surgeon walitoka emoty kabisa kwanza na hayo makelele kwenye surgical room hazitakiwi kule tunatumia ishara so akili yapaswa kujiongeza aisee so kwa kuongea huko.....
Kwa maelezo yako tu haina haja tena ya Mimi lkuifungua maana nilishaifaham kupitia group la wasap.Wiki kama mbili hivi kuliripotiwa shambulio hili likihusisha mabinti wawili, kwa maana ya mtekeleza shambulio alikua binti na alifanya hivi kwa sababu ya wivu wa mapenzi
kwahiyo umeona raha kusambaza clip za kutishana au sio?Nafikiri umejua uelewa wako ulivyo na wachangiaji wengine., Kama hujui kitu kaa kimya. Jamii forum sio mtaa..
Ulifaulu masomo ya kukupa sifa za kusomea hiyo fani?Ndyo maana nilikataa kuwa dactari
NdyoUlifaulu masomo ya kukupa sifa za kusomea hiyo fani?
Alipona?Ethics za kazi ziko wapi siku hizi huyu alievunjisha hii clip yamfaa kurudi darasani upya......
Shenzy type .....
Pole yake huyo aliekatwa shingo na amshukuru Mungu sana hiyo cut haikugusa cervical bones maana tungekuwa tunaongea mengine hapa .....
We si ulijitolea kuifungua kwa niaba vp tena Bapa imegeuka tena chai, kwi kwi kwi kwi umenifurahisha sana.Daaammmnn niggaaa.. Konyagi yote niliyokunywa imeruka nahisi kama nimekunywa chai [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Mkuu umeiangalia kiuoga sana bhana we unadai ameshakufa hujaona mkao aliokaa kuwa ni wa mtu aliye hao???Mtu aliyekufa hawezi kukaa alivyokaa huyo majeruhi maana kaegemeza kichwa chake juu ya mkono wake na anabalance nzuri tu wakati anahudumiwa.Umejuaje kama ajafa mbona anaonekama keshakufa sema kama wana mweka sawa Kwa kidogo Kwa ajili ya msiba
Kwahiyo Kwa kidonda kama hicho unadhani huo mkao amejiweka mwenyewe hata wana gusagusa jeraha asikii maumivu na kama wamempa nusu kaputi basi ujue akujiweka huo mkao yeye mwenyewe king jeraha kama ilo maumivu yake siyo ya mchezoMkuu umeiangalia kiuoga sana bhana we unadai ameshakufa hujaona mkao aliokaa kuwa ni wa mtu aliye hao???Mtu aliyekufa hawezi kukaa alivyokaa huyo majeruhi maana kaegemeza kichwa chake juu ya mkono wake na anabalance nzuri tu wakati anahudumiwa.
We jamaa uliwahi kupata jibu la swali lako?Mwenye undani na ufahamu wa sababu za kutokea kwa tukio hili.