Inaonekana hawa wadada mawinga wa china wanatajirika kwa akili finyu za Watanzania

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
300
Reaction score
606
Yes.

Kuna kitu kinaniambia hela ipo nje nje chini huko.kimsingi uwe tu namtaji wako hata wa kukodi fremu kubwa nje mji kidogo au hata ndani ya maeneo yenye watu wengi

Alafu kuwa muaminifu kwa 100% usiwe mjanja mjanja tu. Basi utatengeneza pesa mpaka uchoke ww

Kwa sababu watanzania wengi hawana exposure ya maisha.

Haya sasa twende kwa nilichokusudia kuandika.

SASA HIVI KUNA WIMBI LA WAKINA DADA HUWA WAPO CHINA KATIKA MACHIMBO HUKO WANAPAMBANA SANA KUONYESHA WATU FURSA
NA KWELI NI FURSA MAANA BIDHAA NI RAHISI SANA NA ZINAVUTIWA NA UNASHAWISHIKA KUNUNUA KUTOKANA NA BEI YAKE.
ILA CHANGAMOTO INAKUJA KWENYE USAFIRI SASA SIJUI HUWA WANA CALCULATE KWA NAMNA GANI.
KWA MAANA USAFIRI UNAKUWA JUU SANA EITHER IWE KWA NDEGE AU MELI BADO CHUMA CHA MOTO..

KWA MFANO LABDA UNAAGIZA SIMU COPY LABDA IPHONE 15 PROMAX BEI INAKUWA MATHALANI 220,000 LAKIN USAFIRI MPAKA INAFIKA TZ NI 95,000
NA HAPO ANAWEZA AKACHUKUA ORDER HATA SIMU 500 KUTOKA KWA FOLLOWERS WAKE

NOTE. NA KUWA WENGINE WANAAGIZA HIZO FAKES NA KUJA KUWAPIGA WATU HELA HAPO MAKUMBUSHO KWA KUDAI NI ORIGINAL .
kwahiyo msishangae mkazona iPhone fake zimezagaa mitaani huko watu wanalizwa

SASA NAJIULIZA SIMU INACOST 95,000 WHY.?????
AU NDIO FAIDA YAO IPO HAPO KWENYE USAFIRI

MPAKA NAJIULIZA HAWA MBONA HAWANA HATA MSHIPA WA AIBU AU KWA KUWA SIMU WATU WAMEONA NI RAHISI.

ILA KIUFUPI HAWA MADADA WAMEKUSANYA UKWASI MKUBWA SANA NA DUNIA INAFUNGUKA KWA NAMNA HIYO.

KWA SASA SI AJABU KUMKUTA MDADA NI AGENTE CHINA AKAKOSA HATA MJENGO WA MILION 200

ILA KIUFUPI CHINA KUNA MAISHA MSINGI MKUBWA NI KUAMINIKA NA WATU TU.

M,BONGO UKIMUONYESHA UWAMINIFU ANA KUBARIKI
 
Yes.

Kuna kitu kinaniambia hela ipo nje nje chini huko.kimsingi uwe tu namtaji wako hata wa kukodi fremu kubwa nje mji kidogo au hata ndani ya maeneo yenye watu wengi

Alafu kuwa muaminifu kwa 100% usiwe mjanja mjanja tu. Basi utatengeneza pesa mpaka uchoke ww

Kwa sababu watanzania wengi hawana exposure ya maisha.

Haya sasa twende kwa nilichokusudia kuandika.

SASA HIVI KUNA WIMBI LA WAKINA DADA HUWA WAPO CHINA KATIKA MACHIMBO HUKO WANAPAMBANA SANA KUONYESHA WATU FURSA
NA KWELI NI FURSA MAANA BIDHAA NI RAHISI SANA NA ZINAVUTIWA NA UNASHAWISHIKA KUNUNUA KUTOKANA NA BEI YAKE.
ILA CHANGAMOTO INAKUJA KWENYE USAFIRI SASA SIJUI HUWA WANA CALCULATE KWA NAMNA GANI.
KWA MAANA USAFIRI UNAKUWA JUU SANA EITHER IWE KWA NDEGE AU MELI BADO CHUMA CHA MOTO..

KWA MFANO LABDA UNAAGIZA SIMU COPY LABDA IPHONE 15 PROMAX BEI INAKUWA MATHALANI 220,000 LAKIN USAFIRI MPAKA INAFIKA TZ NI 95,000

SASA NAJIULIZA SIMU INACOST 95,000 WHY.?????
AU NDIO FAIDA YAO IPO HAPO KWENYE USAFIRI

MPAKA NAJIULIZA HAWA MBONA HAWANA HATA MSHIPA WA AIBU AU KWA KUWA SIMU WATU WAMEONA NI RAHISI.

ILA KIUFUPI HAWA MADADA WAMEKUSANYA UKWASI MKUBWA SANA NA DUNIA INAFUNGUKA KWA NAMNA HIYO.

KWA SASA SI AJABU KUMKUTA MDADA NI AGENTE CHINA AKAKOSA HATA MJENGO WA MILION 200

ILA KIUFUPI CHINA KUNA MAISHA MSINGI MKUBWA NI KUAMINIKA NA WATU TU.

M,BONGO UKIMUONYESHA UWAMINIFU ANA KUBARIKI
CBM
 
F3P1IHWXkAA8KLb.jpeg
 
China wapo wadada tu? Hakuna wanaume?

Hii nchi haiwezi kuendelea sababu kila mtu anawaza kununua vitu cheap tena disposable items na kuja kuuza bongo kwa watu ambao tayari hawana pesa. Mnashinda kuwakamua wateja hao hao.
 
B

Bufa unaendeleza madai yako ya maendeleo kama yalivyo kushinda kuyafanya kule kwenu kwa ndugu zako mbeya. Leo unclaimed kwa watanzania wote sio?
 
Mimi sio baba wa taifa kuendeleza mkoa wote. Sio kazi yangu wala sio malengo yangu. Hayo wadaini viongozi wenu.

Mkiendelea kuwaza uchuuzi wa biashara za fremu nchi haitoboi hii.
 
SASA NAJIULIZA SIMU INACOST 95,000 WHY.?????
Ni tax inclusive, na kafaida kake kidogo kama mjasiliamari, kwa kutumia hawa shipping agents.

Hivyo ni gharama nafuu ukilinganisha na gharama halisi (tax/vat) iwapo itafuata ule utaratibu wa kawaida wa kuingiza bidhaa nchini.
 
Mimi sio baba wa taifa kuendeleza mkoa wote. Sio kazi yangu wala sio malengo yangu. Hayo wadaini viongozi wenu.

Mkiendelea kuwaza uchuuzi wa biashara za fremu nchi haitoboi hii.
Unaamin mabadiliko yanaanza kwq minority au majority? Majority ya watanzania uchuuzi ndo levo wanayoweza kuifikia mkuu. Huwezi kufananisha third world countries na hayo Ma-nchi yenye teknolojia iliyo-advance

Huu uwinga wadada unawalipa sana ila una risk nyingi, wanaangukiaga kwenye maden sana. Na bei huongezeka kulingana na hali ya usafiri na kodi. Hawa wanaofanya hizi still ni minority mana majority ni wateja zao hapa bongo ambao ndo wachuuz
 
Wanaofanya uwinga ni wadada tu? Mbona hizi lawama hamtupi kwa wanaume? Nawafahamu machizi wengi wanaofanya biashara btn China and TZ kuliko wadada.

Mabadiliko yanaanza level yoyote ile, mkuu. Watu inabidi wabadilishe mindset zao, wabongo wengi wanawaza uchuuzi tu sio wajasiriamali wadogo, wakati wala wakubwa. Kila mtu anawaza kwenda China kununua na kuja kuuza bongo. Graduates nao kazi ni hii hii. I'm not knocking their hustle but we gotta do better.

Jana nimeona online mtu kafungua duka la mamilioni la kuuza nguo. A few months ago niliona kampuni ya Uturuki imefungua shopping mall ya kuuza nguo Dar mgeni rasmi alikua RC/DC. Badala waturuki walete viwanda wanaleta ready-made cloths kuendeleza uchuuzi.

Wachina, waturuki nao wamejazana bongo kuendeleza uchuuzi. Watu wote wanashindana kuteka the same market doing exact same thing.
 
We kaa hivyo ukiamini huo udalali ndio unawapeleka China na kulisha maduka yao huku.

Ukitaka kujua ya kuwa hujui jaribu na wewe uone kama utatoboa.

Ile ya kuonyesha machimbo ni side hustle, main gig ni kuuza nyapu.

Ukiona mdada anaendesha range kali chances ni kubwa sana huko chini kwake ndipo kulipobeba maumivu yote.

Ni vile nyapu hazina kauli tu, ile zingekuwa zinaongea madada wengi wangeumbuka. Ongeona kwenye interview mdada akijisifu kwa jitihada zake, papa nayo ingedakia kusema ukweli juu ya jitihada halisia za kukung'utwa.
 
Una idea nzur.. lakin sio tentative kama maendeleo yana layers. Haya makundi ya waafrika karibu wote unayoyazungumzia hapa wapo stage ya capital accumulation. Mtanzania kuweza kulink biashara kati ya bongo na China au uturuki lazima itokee katika namna ya kujitafuta kwa kuzingatia levo yake.

Kuwekeze kwenye viwanda kunabeba picha nyingine mpya kabisa kwa mtanzania. Quality ya hili wazo lako tulipitishe katika mizani ya valid, efficiency, effective, na relevant.

Ni watanzania wangapi wataliweza ukiachilia mbali wanasiasa?, Je unafikiri zoezi la kutoka uchuuz linawatosha wangapi? Revolution ya biashara kibongo kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja sio poa. Nashangaa serikali kutengua kipato kile cha kadi ya umachinga kwa kuondoa system ile ya kitambulisho.
Wanaofanya uwinga ni wadada tu? Mbona hizi lawama hamtupi kwa wanaume? Nawafahamu machizi wengi wanaofanya biashara btn China and TZ kuliko wadada.

Mabadiliko yanaanza level yoyote ile, mkuu. Watu inabidi wabadilishe mindset zao, wabongo wengi wanawaza uchuuzi tu sio wajasiriamali wadogo, wakati wala wakubwa. Kila mtu anawaza kwenda China kununua na kuja kuuza bongo. Graduates nao kazi ni hii hii. I'm not knocking their hustle but we gotta do better.

Jana nimeona online mtu kafungua duka la mamilioni la kuuza nguo. A few months ago niliona kampuni ya Uturuki imefungua shopping mall ya kuuza nguo Dar mgeni rasmi alikua RC/DC. Badala waturuki walete viwanda wanaleta ready-made cloths kuendeleza uchuuzi.

Wachina, waturuki nao wamejazana bongo kuendeleza uchuuzi. Watu wote wanashindana kuteka the same market doing exact same thing.
 
We kaa hivyo ukiamini huo udalali ndio unawapeleka China na kulisha maduka yao huku.

Ukitaka kujua ya kuwa hujui jaribu na wewe uone kama utatoboa.

Ile ya kuonyesha machimbo ni side hustle, main gig ni kuuza nyapu.

Ukiona mdada anaendesha range kali chances ni kubwa sana huko chini kwake ndipo kulipobeba maumivu yote.

Ni vile nyapu hazina kauli tu, ile zingekuwa zinaongea madada wengi wangeumbuka. Ongeona kwenye interview mdada akijisifu kwa jitihada zake, papa nayo ingedakia kusema ukweli juu ya jitihada halisia za kukung'utwa.
Sorry but mimi sikubaliani na hii hoja yako and Achana na hizi mindset za kufikirika mleta mada ameongelea vitu vinavyoonekana kwa macho ila wewe unaleta habari za kufikirika ambazo hata ukiambiwa umtaje dada mmoja anaefanya hivyo kwa ushahidi unakua huna huo ushahidi.

And by the way, ingekua kujiuza unakozungumzia kungekua ni rahisi kiasi hiko basi asilimia kubwa ya wanawake wangekua ni matajiri.
 
Back
Top Bottom