Uzuri ni kwamba Roma amefanana kiakili na kimtazamo na mke wake.
Hilo ndo linatakiwa.
Wacha bwana...!!Sjui kwanini huwa naamini Mimi na Roma mkatoliki ndio tuna wake wa maana sana.
HahahahahSjui kwanini huwa naamini Mimi na Roma mkatoliki ndio tuna wake wa maana sana.
Avatar yako imenikumbusha enzi zileeee za akina LODILOFAPicha yake iko wapi tuweze kumtambua.
-Ndumilakuwili-
itakuwa "vegetable" mnayotumia ni moja! Mana hata ROMA anamkubali sana Afande!Sjui kwanini huwa naamini Mimi na Roma mkatoliki ndio tuna wake wa maana sana.
[emoji121]hello guys
nikimwangaliaga mke wa roma, i have that gut feeling kuwa anampenda sana mumewe though i dont know her personally, lkn kwa kumwangalia tu nimem-judge hivyo, lyk anamsapoti sana mumewe kwenye mambo yake, sio kama hawa wanawake wengine wa mjini, namwona she is proud of having roma as her husband.
Au wadau wengine mwaonaje