MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Muwe mnawaweka wazi na kujiachia hadharani na wake zenu siyo mpk majanga yawakute ndo tuwajue,uzalendo kwanza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa na uhusiano na Anko magu wa Front pageMuwe mnawaweka wazi na kujiachia hadharani na wake zenu siyo mpk majanga yawakute ndo tuwajue,uzalendo kwanza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Doris, wewe hofu ya Mungu unayo?Ata Mimi Mungu anipe mume kama Roma au zaid ya Roma anipe mume atakaenipenda atakaeona nathamani kwake awe ana tabia njema hofu ya mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfanye mkeo kuwa rafiki yako atakuwa zaidi ya mke wa Roma ,tatizo hamuwapendi wake zenu alafu amnataka wawe bora.hello guys
nikimwangaliaga mke wa roma, i have that gut feeling kuwa anampenda sana mumewe though i dont know her personally, lkn kwa kumwangalia tu nimem-judge hivyo, lyk anamsapoti sana mumewe kwenye mambo yake, sio kama hawa wanawake wengine wa mjini, namwona she is proud of having roma as her husband.
Au wadau wengine mwaonaje
Kama ndiyo huyo Roma atakuwa ana akili sana mana akuoa wale wanawake wenye makalio makubwa mana mwanamke akiwa na makalio makubwa mara zote awana akili ufikiri kwa kutumia makalio![]()
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
HAO ITAKUA NI WALE WENYE MIZIGO NYUMA WENGI AWANA AKILI YA KUFIKILI UTUMIA MAKALIO KWA KUFIKILI HIVYO NAWAPA POLE MIDUME YENYE KUPENDA CHURA[emoji179]KUNA WANAWAKE HATA UKAWAPENDAJE HAWAPENDEKI..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ndiyo huyo Roma atakuwa ana akili sana mana akuoa wale wanawake wenye makalio makubwa mana mwanamke akiwa na makalio makubwa mara zote awana akili ufikiri kwa kutumia makalio
HahaahaKama ndiyo huyo Roma atakuwa ana akili sana mana akuoa wale wanawake wenye makalio makubwa mana mwanamke akiwa na makalio makubwa mara zote awana akili ufikiri kwa kutumia makalio
Uzuri ni kwamba Roma amefanana kiakili na kimtazamo na mke wake.
Hilo ndo linatakiwa.
Mkuu nimecheka taratibu baada ya kusoma Hapa Kwako, zamani hom tukipika Wali ile jion unakuwa mtamu Ila hauzidi ule wa Kwa jirani, ndicho unachokisemeaMwanamke akiwa kwa mwenzio lazima awe mzuri tu,ngoja upewe wewe sasa uyo uyo unaemuona mzuri utarudi na adithi nyingine apa!!
she is proud of having roma as her husband, kwa sababu roma anaelewa nini wajibu kwa mke hata mwajuma ndara ndefu ukimchukua na ukafanya wajibu wako kama mume atakuwa proud tu na wewe
Dah ya kweli haya mkuu??[emoji121]
MKUU,
NA KWA TAARIFA YA AWALI,
MKE WA ROMA ANA PACHA WAKE ANAYELANDANA NAYE KILA KITU,
AMBAYE ND'O NATAKA NIMUOE MIMI HIVI PUNDE!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Check kwanza life lako wewe uko je sio kiruka njia kila club mjini unaijua au we mtu wa bata utegemee mume mwema Sir.God he is very fair kama ulikua na bado unajitunza expect that kama sio ivyo utaishia kumuona Roma ndotoniAta Mimi Mungu anipe mume kama Roma au zaid ya Roma anipe mume atakaenipenda atakaeona nathamani kwake awe ana tabia njema hofu ya mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
OkCheck kwanza life lako wewe uko je sio kiruka njia kila club mjini unaijua au we mtu wa bata utegemee mume mwema Sir.God he is very fair kama ulikua na bado unajitunza expect that kama sio ivyo utaishia kumuona Roma ndotoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema, wewe si mwendawazimu, wanakusingizia.Mwanamke akiwa kwa mwenzio lazima awe mzuri tu,ngoja upewe wewe sasa uyo uyo unaemuona mzuri utarudi na adithi nyingine apa!!
she is proud of having roma as her husband, kwa sababu roma anaelewa nini wajibu kwa mke hata mwajuma ndara ndefu ukimchukua na ukafanya wajibu wako kama mume atakuwa proud tu na wewe