Inaonekana mke wa roma mkatoliki ni mke bora

Kwanini unamuangalia mke wa mtu
 
Wanasema " behind the strong man there is a woman" usije ukaongeza mwanamke/wanawake udhani utakuwa strongest
 
Mfanye mkeo kuwa rafiki yako atakuwa zaidi ya mke wa Roma ,tatizo hamuwapendi wake zenu alafu amnataka wawe bora.
 


Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Kama ndiyo huyo Roma atakuwa ana akili sana mana akuoa wale wanawake wenye makalio makubwa mana mwanamke akiwa na makalio makubwa mara zote awana akili ufikiri kwa kutumia makalio
 
KUNA WANAWAKE HATA UKAWAPENDAJE HAWAPENDEKI..
HAO ITAKUA NI WALE WENYE MIZIGO NYUMA WENGI AWANA AKILI YA KUFIKILI UTUMIA MAKALIO KWA KUFIKILI HIVYO NAWAPA POLE MIDUME YENYE KUPENDA CHURA[emoji179]
 
Kama ndiyo huyo Roma atakuwa ana akili sana mana akuoa wale wanawake wenye makalio makubwa mana mwanamke akiwa na makalio makubwa mara zote awana akili ufikiri kwa kutumia makalio
Hahaaha
 
Ndoa ni takatifu mbele za Mungu.
Shetani hanyamazi kwenye ndoa even if one day ubavu ndio lakini changamoto za ndoa ziko palepale. Ndoa ina siri kubwa mno tena mno.
 
Mkuu nimecheka taratibu baada ya kusoma Hapa Kwako, zamani hom tukipika Wali ile jion unakuwa mtamu Ila hauzidi ule wa Kwa jirani, ndicho unachokisemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nancy Kala Bange sn na young d cdhan km ajamchapa nao!
 
Ata Mimi Mungu anipe mume kama Roma au zaid ya Roma anipe mume atakaenipenda atakaeona nathamani kwake awe ana tabia njema hofu ya mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Check kwanza life lako wewe uko je sio kiruka njia kila club mjini unaijua au we mtu wa bata utegemee mume mwema Sir.God he is very fair kama ulikua na bado unajitunza expect that kama sio ivyo utaishia kumuona Roma ndotoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila.mwanaume hupewa mke wa kufanana naye. Tatizo wanaume wa siku hizi wanatafuta kufanana na wake zao badala ya wake kufanana na waume zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vema, wewe si mwendawazimu, wanakusingizia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…