Inaonekana Mo Ibrahim hana raha tena ndani ya Simba SC

Inaonekana Mo Ibrahim hana raha tena ndani ya Simba SC

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Dah,inaonekana Mo ibrahim hana raha tena ndani ya simba ,kwa nini kae benchi huyu wakati niyonzima na mavugo wanazengua?shiiit,akienda yanga huyu tutajuta.

MO IBRA MANDELA.jpg
 
Jamaa ni fundi sana, ila ndo hivyo tena mapenzi ya wanasimba yapo kwa Niyonzima! Azam kwa nini wasimchukue huyu kijana!
 
Omog sijui nikocha wa namna gani anamwacheje mo Ibrahim benchii
 
Makocha huwa wanakuaga na ujinga.sana sometimes
Wanataka kusujudiwa utadhan wao
N malaika
 
Kama kunakitu kinachoniskitisha kwa sasa nikumuacha benchi mo Ibrahim ifike muda watu kama kina okwi niyonzima waanzie benchi wawape vijana waonyeshe vipaji halis

Okwi na Niyonzima waanzie benchi..?alafu msemaji wenu atakua anawazungumzia akina nani ili aendelee kua muajiriwa pale Msimbazi,hao ni zaidi ya wachezaji wanaendesha ajira za watu kadhaa kama Omog hajipendi awaguse kibwege hao maraia wawili.
 
Dah kwakweli inaskitisha kama ndio hivyo ila kama kweli wanataka matokeo na ubingwa wasiangalie u father
 
Huyu jamaa ni mzuri kuliko Mavugo na Luizio,kwanini asichezeshwe hizo namba hao majamaa wakae benchi?mechi karibia zote aliyocheza huyo Dogo ameonyesha impact kubwa sana,na magoli anayofunga huwa ni magoli yaliyoenda shule.
 
Simba kuna upuuzi mwingi kweli. Kama sisi watazamaji tunasikitika Mo kukaa benchi halafu ukalichezesha lishambuliaji linalokua kama refa uwanjani sijui Mo mwenyewe anajisikiaje. Kila nikimuona mavugo uwanjani naona kama vile timu inacheza pungufu.
 
Kikosi changu simba

  1. Manula
  2. Nyoni
  3. Juuko
  4. Kotei
  5. Tshabalala
  6. Mkude
  7. Kichuya
  8. Niyonzima
  9. Gyan/Mo
  10. Mzamiru
  11. Okwi
 
Tatizo sio viongozi, Omog wala mashabiki wengi wa simba wanajua kuwa Mo Ibrahim ni mashine. Nawaambia viongozi wa simba na msemaji wao kuwa yaliyotokea kwa Ajibu ndiyo tutayapata kwa Mo Ibrahim. ningekuwa kiongozi wa usajili ningetimua mavugo, gyan na luizio na mishahara yao nawaongezea kichuya, mo ibrahim na mnyate halafu majibu mngeyaona uwanjani. Mashabiki wengi maandazi hawajui pia Niyonzima huwa anaikaba simba kwa sababu hachezi mpira direct na ndio maana wakati alipokuwa yanga simba ilikuwa inaitesa sana na kuizidi yanga kwenye kiungo. huyo niyonzima ningemuanzisha benchi wakati Mo Ibrahim yupo ndani anafanya kazi iliyotukuka.
 
Back
Top Bottom