ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Dah,inaonekana Mo ibrahim hana raha tena ndani ya simba ,kwa nini kae benchi huyu wakati niyonzima na mavugo wanazengua?shiiit,akienda yanga huyu tutajuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omog sijui nikocha wa namna gani anamwacheje mo Ibrahim benchii
Bila shakaSoon anafukuzwa pale,Omba hiyo kazi ukaifanye wewe
Kama kunakitu kinachoniskitisha kwa sasa nikumuacha benchi mo Ibrahim ifike muda watu kama kina okwi niyonzima waanzie benchi wawape vijana waonyeshe vipaji halis
Dah kwakweli inaskitisha kama ndio hivyo ila kama kweli wanataka matokeo na ubingwa wasiangalie u fatherOkwi na Niyonzima waanzie benchi..?alafu msemaji wenu atakua anawazungumzia akina nani ili aendelee kua muajiriwa pale Msimbazi,hao ni zaidi ya wachezaji wanaendesha ajira za watu kadhaa kama Omog hajipendi awaguse kibwege hao maraia wawili.
Huyu jamaa ni mzuri kuliko Mavugo na Luizio,kwanini asichezeshwe hizo namba hao majamaa wakae benchi?mechi karibia zote aliyocheza huyo Dogo ameonyesha impact kubwa sana,na magoli anayofunga huwa ni magoli yaliyoenda shule.
Utachukua kazi yake? Ila usifikiri soka ni kama redeSoon anafukuzwa pale,Omba hiyo kazi ukaifanye wewe
Omog sijui nikocha wa namna gani anamwacheje mo Ibrahim benchii
Kwa nn kusubiri wachezaji toka simba tengenezeni wakwenuDah huyu jamaa akija Yanga nitafurahi sana.