Tatizo sio viongozi, Omog wala mashabiki wengi wa simba wanajua kuwa Mo Ibrahim ni mashine. Nawaambia viongozi wa simba na msemaji wao kuwa yaliyotokea kwa Ajibu ndiyo tutayapata kwa Mo Ibrahim. ningekuwa kiongozi wa usajili ningetimua mavugo, gyan na luizio na mishahara yao nawaongezea kichuya, mo ibrahim na mnyate halafu majibu mngeyaona uwanjani. Mashabiki wengi maandazi hawajui pia Niyonzima huwa anaikaba simba kwa sababu hachezi mpira direct na ndio maana wakati alipokuwa yanga simba ilikuwa inaitesa sana na kuizidi yanga kwenye kiungo. huyo niyonzima ningemuanzisha benchi wakati Mo Ibrahim yupo ndani anafanya kazi iliyotukuka.