Inaonekana Simba mnamtema Gomez?

Inaonekana Simba mnamtema Gomez?

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
17,060
Reaction score
32,400
Taarifa za awali kabisa ni kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imemfuta kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa kutokana na kushindwa kuisaidia klabu hiyo kufuzu makundi ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League).

Kwa sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya Kocha Hitimana Thierry, taarifa zaidi kukujia.✍

B2854329-360C-43C1-B11C-0F9390D683BD.jpeg
 
Kocha wa mpira wa miguu anaajiriwa ili afukuzwe, kocha havumiliwi timu inapofanya vibaya
 
Timu korokocho mmekutwa na Nini, au dhambi ya kutoajiri vijana mnang'ang'ania vizee ndio viibebe timu, hufu yenu ni kuwalipa viinua mgongo/pension au Nini au mlijihujumu wenyewe🏋️.
 
Malengo aliyopewa Kocha Gomes ni Simba ifike Nusu fainali. Hivyo ni halali Kutimuliwa
 
Safi sana, uongozi, Mtu amepewa malengo,Ameshindwa kutimiza malengo ya kimkataba ni kumfukuza tu.
 
Safi sana, uongozi, Mtu amepewa malengo,Ameshindwa kutimiza malengo ya kimkataba ni kumfukuza tu.
Unampaje malengo kocha hana hata vyeti?

Yani soka la Africa hana sifa ya kukaa technical bench, sasa huko ulaya si ndio haruhusiwi kabisa hata kibali cha kazi?
 
Taarifa za awali kabisa ni kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imemfuta kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa kutokana na kushindwa kuisaidia klabu hiyo kufuzu makundi ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League).

Kwa sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya Kocha Hitimana Thierry, taarifa zaidi kukujia.[emoji871]

View attachment 1986968
View attachment 1987104
Ni kweli wamemtema na wanadai kuwa kajenga makundi ndani ya timu,hawataki akina kagere,ajibu,onyango na mzamiru

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Unampaje malengo kocha hana hata vyeti?

Yani soka la Africa hana sifa ya kukaa technical bench, sasa huko ulaya si ndio haruhusiwi kabisa hata kibali cha kazi?
Haujui unachoongea...

Wewe ni wa kusamehewa, Unajua kwanini haruhusiwi unajua chanzo cha Kuzuiliwa?
 
Huyu kocha hajawahi kumaliza misimu miwili kwenye timu yoyote aliyoajiriwa. So mwenyewe anajua wala hamjamkomoa.
 
Unampaje malengo kocha hana hata vyeti?

Yani soka la Africa hana sifa ya kukaa technical bench, sasa huko ulaya si ndio haruhusiwi kabisa hata kibali cha kazi?
Naww umepotea njia sasa, Kwan hana vyeti? kasome tena taarifa ya CAF
 
Back
Top Bottom