Wote watimuliweHapo wa kufukuza ni Gomez au Hitimana?
Ndiyo Ukweli WenyeweKocha wa mpira wa miguu anaajiriwa ili afukuzwe, kocha havumiliwi timu inapofanya vibaya
Unampaje malengo kocha hana hata vyeti?Safi sana, uongozi, Mtu amepewa malengo,Ameshindwa kutimiza malengo ya kimkataba ni kumfukuza tu.
Ni kweli wamemtema na wanadai kuwa kajenga makundi ndani ya timu,hawataki akina kagere,ajibu,onyango na mzamiruTaarifa za awali kabisa ni kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imemfuta kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa kutokana na kushindwa kuisaidia klabu hiyo kufuzu makundi ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League).
Kwa sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya Kocha Hitimana Thierry, taarifa zaidi kukujia.[emoji871]
View attachment 1986968
View attachment 1987104
Ni kweli wamemtema na wanadai kuwa kajenga makundi ndani ya timu,hawataki akina kagere,ajibu,onyango na mzamiru
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Haujui unachoongea...Unampaje malengo kocha hana hata vyeti?
Yani soka la Africa hana sifa ya kukaa technical bench, sasa huko ulaya si ndio haruhusiwi kabisa hata kibali cha kazi?
Tatizo ni vyeti, au wewe una taarifa mpya?Haujui unachoongea...
Wewe ni wa kusamehewa, Unajua kwanini haruhusiwi unajua chanzo cha Kuzuiliwa?
Sakata lililo sababisha kuwekeaa kauzibe kwenye Vyeti kati ya CAF na UEFA unalijua?Tatizo ni vyeti, au wewe una taarifa mpya?
Naww umepotea njia sasa, Kwan hana vyeti? kasome tena taarifa ya CAFUnampaje malengo kocha hana hata vyeti?
Yani soka la Africa hana sifa ya kukaa technical bench, sasa huko ulaya si ndio haruhusiwi kabisa hata kibali cha kazi?