Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 1,021
- 1,542
Wasalaam Ndg. Watanzania wenzangu. Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Yaani imesikitisha kuona jinsi ambavyo "Wabunge" wamekuwa kitu kimoja kufunika hilo kombe linalozidi kufurisha.
Kwa mujibu wa Mpina ufisadi, Ubadhirifu na Rushwa vimeleta hasara ya trilioni 30 kwa miaka miwili.
Inaonekana kama hali halisi ingemulikwa yote hilo deni la taifaTrilion 91 lingeweza kulipwa na chench ikabaki.
Hivi kwa hali halisi ya Mtanzania wa kawaida na kwa mujibu wa Takwimu za Mhe. Makamu wa Rais mnaweza kuungana kufanya kiki juu ya uozo huu?
Inaonekana watanzania wazembe ila jueni Yuko wa kuwatetea siku zote.