Inaonesha sababu ya Putin kuishambulia Ukraine si kujiunga NATO

Huyajui mazingira ya Ukraine na Urusi yalivyo!! Ukkraine ilikuwa inaandaliwa kijeshi tangu 2014 kuja kuivamia urusi!! Wamekuwa wakipewa silaha kali na mafunzo tangu hiyo 2014, na lilikuwa ni suala la muda tu!! Ilikuwa inaandaliwa kuivamia urusi kwa maana ya kutaka kuikomboa Crimea ambayo iliamua kujiunga na Urusi. Hayo ni mazingira tete!! Ililazimu Urusi kuivamia ukraine ili kuvuruga mipango hiyo. Finland na Sweeden kujiunga na NATO bado ni tishio kwa Urusi lakini si moja kwa moja kama Ukraine ambayo vita yake na Urusi ilikuwa haiepukiki.
 
Mkuu tupe source ya hizi claim kama hutajali .
 
Uko sahihi kabisa
 
Ndio Marekani na ulaya wanamfanyia inda sana baada ya kumjua kwamba kazi yake ni ndaro wamemjua udhaifu wake kila idara
 
Kwa kuwa kinachopigana ni watu, bila Shaka watu wanakufa itafikia siku, wataaacha kufanya huu unyama wanaofanya leo. Putin ni dikteta mpuuuzi wa miaka hii ya 2000
 
Kwa taarifa yako...taifa la urusi lilianzia Ukraine. Kiev. Wajue warusi kwanza. Kwa kukurahisishia tafuta kitabu kinaitwa The Thirteenth tribe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…