one million/ month?Nyumba ikpo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master
Pia ina;
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA
- Sitting room (Kubwa_
- Dining Room
- Jiko kubwa
- Stoo kubwa
- Ina eneo kubwa la wazi
Mpangaji ataweza kufanya shughuli yoyote isiyo ya kudumu kwenye eneo la wazi la nyumba hiyo
Bei 1,000,000 (Negotiable) kuanzia kodi ya Miezi 3
Mawasiliano (Mwenye Nyumba) 0754 512-470
Karibuni
Picha Mjongeo!
Possibly, kiukweli ni jirani yangu kule Arusha, yy sio mtu wa mitandao kbs, nikasema nimsaidie ku publish...any way nashukuru kwa concern nitaifikisha!Ni ghali sana hata ingekuwa mikocheni au mbezi beach isingefila 1 M kwa mwezi labda hamjaelewana na land lord
Wewe jamaa hauko serious yaani mtu alipe million 1 kwa mwezi nyumba ya kupanga Kivule?Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master
Pia ina;
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA
- Sitting room (Kubwa)
- Dining Room
- Jiko kubwa
- Stoo kubwa
- Ina eneo kubwa la wazi
Mpangaji ataweza kufanya shughuli yoyote isiyo ya kudumu kwenye eneo la wazi la nyumba hiyo
Bei 1,000,000 (Negotiable) kuanzia kodi ya Miezi 3
Mawasiliano (Mwenye Nyumba) 0754 512-470
Karibuni
Picha Mjongeo!
Cunningham's Law.. [emoji1433]Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master
Pia ina;
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA
- Sitting room (Kubwa)
- Dining Room
- Jiko kubwa
- Stoo kubwa
- Ina eneo kubwa la wazi
Mpangaji ataweza kufanya shughuli yoyote isiyo ya kudumu kwenye eneo la wazi la nyumba hiyo
Bei 1,000,000 (Negotiable) kuanzia kodi ya Miezi 3
Mawasiliano (Mwenye Nyumba) 0754 512-470
Karibuni
Picha Mjongeo!
jamaa yangu alipanga kitunda relini vyumba viwili na seble plus jiko kwa 180k tena kitunda relini sasa kivule 1m mzee duh wakati sku hizi ukiwa na 500k au 600k unapata nyumba nzuri tu kkoo ya kupangaNyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master
Pia ina;
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA
- Sitting room (Kubwa)
- Dining Room
- Jiko kubwa
- Stoo kubwa
- Ina eneo kubwa la wazi
Mpangaji ataweza kufanya shughuli yoyote isiyo ya kudumu kwenye eneo la wazi la nyumba hiyo
Bei 1,000,000 (Negotiable) kuanzia kodi ya Miezi 3
Mawasiliano (Mwenye Nyumba) 0754 512-470
Karibuni
Picha Mjongeo!
Kariakoo apartment 600/800K ile mitaa iliyopoa poa mpaka 400KWewe jamaa hauko serious yaani mtu alipe million 1 kwa mwezi nyumba ya kupanga Kivule?