Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Mtu anatafuta mshahara 1milion😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mjomba una utani na hela,,,mwaka 2021 niliendaga Mwandege nyumba kali kichizi ilikua 150k yaani ni nzuri halafu Kama Km 1½ kutoka road.
HahahahaaaaaMil 1????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itakuwaa umevutishwa bhangi alafu ukakutana na Motivation speaker akakwambia udalali unalipaaa ilaa huko ukipataa boya wa kukupa Laki 2 shukuruuu
KM kama 2 kutoka DarMwandege ipo wapi ?
Pwani ,,Kilometa kama 2 kutoka DarMwandege ipo wapi ?
Pwani ,,Kilometa kama 2 kutoka Dar
mwandege iko kata ya vikindu wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani.Pwani kilomita mbili bado umeniacha. Ungesema mwandege ipo wilaya gani na karibu na Dar wilaya gani ama eneo gani ?
Maana hata kibaha ni pwani na ni karibu na dar
Hata Mapinga bagamoyo ni pwani na ni karibu na dar.
Hata Tambani mbande ni mkoa wa pwani na ni karibu na dar tena chini ya kilomita mbili
Hata Vikindu ni pwani ila ni karibu na dar