Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Ni maoni yangu tu sijui Kama liko kikatiba.
Ila inapendeza viongozi wa kitaifa kuwa na wenzi wao wanapokuwa ziara maalumu ya ndani na nje kitaifa.
Pia ikizingatiwa pia kwenye nchi Fulani walipitisha Hadi mafao ya wenzi wa viongozi wakubwa kwa sababu wanaacha shughuli zao ili wawe karibu nao.
Sina mashaka na maadili ya baadhi ya viongozi wakubwa Ila ni vizuri kuepusha mazingira ambayo yanaweza kuleta skendo zisizo na muhimu na kuchafua viongozi wetu.
Pia tukumbuke viongozi wetu wanawakilisha wananchi wao kwa hiyo uwakilishi wowote uwe mzuri au mbaya utahusu wawakilishwa pia.