Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Waache wawe huru ili wafaidi matunda ya Uhuru wao.Ni maoni yangu tu sijui Kama liko kikatiba
Ila inapendeza viongozi wa kitaifa kuwa na wenzi wao wanapokuwa ziara maalumu ya ndani na nje kitaifa
Pia ikizingatiwa pia kwenye nchi Fulani walipitisha Hadi mafao ya wenzi wa viongozi wakubwa kwa sababu wanaacha shughuli zao ili wawe karibu nao
Sina mashaka na maadili ya baadhi ya viongozi wakubwa Ila ni vizuri kuepusha mazingira ambayo yanaweza kuleta skendo zisizo na muhimu na kuchafua viongozi wetu
Pia tukumbuke viongozi wetu wanawakilisha wananchi wao kwa hiyo uwakilishi wowote uwe mzuri au mbaya utahusu wawakilishwa pia
Ukishakuwa kiongozi huwi tena Huru mkuu unakuwa mtumishi wa umma na maadili yakeWaache wawe huru ili wafaidi matunda ya Uhuru wao.
Tena kwa sisi tunaopenda kula kula, ili ufaidi, ni muhimu from time to time kubadili mboga!. Baadhi ya wapishi wa makabilaWaache wawe huru ili wafaidi matunda ya Uhuru wao.
Kwani hivyo vyakula hatuwezi kula akiwrpo mke au mmeTena kwa sisi tunaopenda kula kula, ili ufaidi, ni muhimu from time to time kubadili mbogo!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
p
Mkuu ukishakuwa kiongozi mkubwa nafikiri hata kula yako Kuna maadili huwezi kula tu ovyo ovyoTena kwa sisi tunaopenda kula kula, ili ufaidi, ni muhimu from time to time kubadili mbogo!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
p
Dokeza basi kimetokea nini huko BoliviaNi maoni yangu tu sijui Kama liko kikatiba.
Ila inapendeza viongozi wa kitaifa kuwa na wenzi wao wanapokuwa ziara maalumu ya ndani na nje kitaifa.
Pia ikizingatiwa pia kwenye nchi Fulani walipitisha Hadi mafao ya wenzi wa viongozi wakubwa kwa sababu wanaacha shughuli zao ili wawe karibu nao.
Sina mashaka na maadili ya baadhi ya viongozi wakubwa Ila ni vizuri kuepusha mazingira ambayo yanaweza kuleta skendo zisizo na muhimu na kuchafua viongozi wetu.
Pia tukumbuke viongozi wetu wanawakilisha wananchi wao kwa hiyo uwakilishi wowote uwe mzuri au mbaya utahusu wawakilishwa pia.
Kubadilisha mboga tena? Wanasema "Chezea Ndevu usichezee Dola!"Tena kwa sisi tunaopenda kula kula, ili ufaidi, ni muhimu from time to time kubadili mbogo!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
p
Ila wenzi wengine utulivu F, ni chanzo cha stress, (mawazo hadi bichwa liumwe), akianza kuongea utadhani kiredio, viongozi wa kitaifa hawatakiwi wawe na strss ili waweze kutimiza majukumu yao ipasavyoNi maoni yangu tu sijui Kama liko kikatiba.
Ila inapendeza viongozi wa kitaifa kuwa na wenzi wao wanapokuwa ziara maalumu ya ndani na nje kitaifa.
Pia ikizingatiwa pia kwenye nchi Fulani walipitisha Hadi mafao ya wenzi wa viongozi wakubwa kwa sababu wanaacha shughuli zao ili wawe karibu nao.
Sina mashaka na maadili ya baadhi ya viongozi wakubwa Ila ni vizuri kuepusha mazingira ambayo yanaweza kuleta skendo zisizo na muhimu na kuchafua viongozi wetu.
Pia tukumbuke viongozi wetu wanawakilisha wananchi wao kwa hiyo uwakilishi wowote uwe mzuri au mbaya utahusu wawakilishwa pia.
Tena huko unakula hata vyura mradi raha tu, hakunaga mapaparaziTena kwa sisi tunaopenda kula kula, ili ufaidi, ni muhimu from time to time kubadili mbogo!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
p
Kwahiyo ukiona vinonozi hakunazi kulazi, hivi ni nchi gani walianza kuyatumia magari ya tintedMkuu ukishakuwa kiongozi mkubwa nafikiri hata kula yako Kuna maadili huwezi kula tu ovyo ovyo
Labda utengeneze drama Kama zile za muuza mahindi na kahawa mwenye bastola kiunoni
Au yule muuza madafu wa ikulu
Kama unamanisha kula nyingine ni vizuri uwe mvumilivu tu ule matunda ya mti wako kwa muda wa uongozi
Mapaparazi Kila mahali mkuuTena huko unakula hata vyura mradi raha tu, hakunaga mapaparazi
Kama unapenda vinono nje ya maadili ni vyema ukaacha uongozi mkuu uwe Huru kuvilaKwahiyo ukiona vinonozi hakunazi kulazi, hivi ni nchi gani walianza kuyatumia magari ya tinted