Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
-
- #21
Tena huko unakula hata vyura mradi raha tu, hakunaga mapaparazi
Tufokasi kwenye hoja msingi mkuu 😊Kwamba ume assume sote tunafuatailia yaliyotokea bolivia
Mzee Hana shida , nafikiri anakuwepo labda hapendi kujionyeshaAnaejua ID ya mzee amtag aanze sasa kuambatana na mke wake.
Gesi, hili nalo yaani gesi tunayo halafu tunanunu gesi nje? Hivi ule wimbo wa baba na mwana wanaimba na kucheza bado unapendwa kama zamani?Mapaparazi Kila mahali mkuu
MWISHO kiongozi akibanwa na skendo atauza Rasilimali za nchi kujiokoa
Maadili kwanza
P akujibu kweliKwani hivyo vyakula hatuwezi kula akiwrpo mke au mme
Kwani ulivyomchagua ulilazimishwa mkuuIla wenzi wengine utulivu F, ni chanzo cha stress, (mawazo hadi bichwa liumwe), akianza kuongea utadhani kiredio, viongozi wa kitaifa hawatakiwi wawe na strss ili waweze kutimiza majukumu yao ipasavyo
Wee niache kuambiwa yes bwana yes bwana, bora hivyo vinono kuachana navyo yaani sizitaki mbichi hiziKama unapenda vinono nje ya maadili ni vyema ukaacha uongozi mkuu uwe Huru kuvila
Juzi nilkuwa najiuliza hawa warembo ile voice note anayo kuwa nayo wakati ule unapo mvunjia barafu mbona inakuwa haina muendelezo? Inapotea ghafula why?, That kindness, soft voice and slow movements and pauses vanish in a thin air drasticallyP akujibu kweli
Kwani ulivyomchagua ulilazimishwa mkuu
Kama ni me Basi ni hasara kubwaHivi mwandishi nikikwambia wewe ni mpuuzi ntakosea?
Unatupa attention ya kujua bolivia kulitokea nini hlf hakuna kitu
Pumbavu
Ulikua bado mdogo au ulichelewa kupata simu Janjaa!!Nini kilitokea?
Watu wengi wanazani kwamba kila mtu mwenye authority anapenda cameras, lakini kumbe si vyoo,kuna wengi tu wanapenda kufanya mambo yao nyuma ya cameras!!Mzee Hana shida , nafikiri anakuwepo labda hapendi kujionyesha