Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nadhani mgawanyo wa pato la taifa haujawaendea vyema na kwamba hili sio tatizo lao peke yao. Mkumbuke kwamba kuna hata wanaume ombaomba sasa sijui hawa mta wa clasfy vipi. Ila katika majumuisho inabidi tuseme kwa pamoja uomba omba sio mzuri na ujumbe huu umfikie hata mheshimiwa rais wetu kwani kutembea na bakuli huko ambako huwa anakwenda huwa ni kutudhalilisha kama taifa.
Ukiangalia suala hili kwa maana pana utaona kwamba wakati mwingine uombaomba ni taibia zaidi kuliko hali halisi, na ndio maana sisi kama nchi eti tuna jiita nchi maskini wakati ndio chimbuko la utajiri wa dunia. Kwani kila kitu kinachohusu utajiri kipo Tanzania, tatizo tumekosa viongozi wenye vision na nia nzuri kwa maisha ya mbele ya taifa hili.
Huyo dada na mdogo wake msameheni tu kwani ameathirika na nadharia za uchumi wa bongo kwamba hata kama una uwezo ni lazima usaidiwe na mgeni ndipo unaweza ukatoka.
...week end hii umepatwa masahibu gani MR, sijaona vijimamboKhaa jamni wasichana tubadilike jamni, hii yote tamaa ndo maana wanapokea vocha za huyo kaka,
Inapendeza zaidi mtu ukijikubali ulivyo!!
Kama kina mama wengi wanakuwa na attitude hii ya kutafuta wenyewe na kujitegemea, basi tutafika mbali. Wengi wanachukulia wanaume ndio ngazi za kupanda wafike wanakotaka kufika halafu inakuwa balaa
Kwa elimu kama hizi tunajifunza. Inshallah tutaacha kujiingiza kwenye relationships basing on money as if money could buy someone's feelings.Yaani!
Kwa sababu mmepinda migongo na kuwaruhusu wawapandie wafike watakako.
Mkiwawekea No basi watakomaa na kujipinda wenyewe.
Sasa Mkuu... huyo dada wa kileo ukikuta analo gari lake je? na viwanja anavijua utatumia njia gani? Tatizo pia hutokana na kuvamia wasichana ambao hayo mambo ni mageni sana kwao....Kwa elimu kama hizi tunajifunza. Inshallah tutaacha kujiingiza kwenye relationships basing on money as if money could buy someone's feelings.
Kwani kuna trick gani nyingine za kumpata dada wa kileo bila kuazima gari la mtu ili kumpeleka disco na kukopa pesa za kumzungusha viwanja mpaka aseme imetosha?
Maana haya matatizo tunakabiliana nayo waume wengi, tuliozaliwa vijijini na kukulia huko na hata wa mjini. Zamani walisema wanaume wakuja ndio tabia zao.
Yaani!
Kwa sababu mmepinda migongo na kuwaruhusu wawapandie wafike watakako.
Mkiwawekea No basi watakomaa na kujipinda wenyewe.
wapendwa............ kuna kamsemo kuwa "if it works, use it"
jana nilipost hapa kisa cha rafiki yangu mmoja aliyepitia maisha ya kuitwa "mtoto wa mitaani"........ nmeongea naye mambo mengi sana na kati ya aliyonieleza ni kuwa jitihada zote za kutafuta urafiki na wasichana hazikuzaa matunda hadi anapata kazi na kuwa na pesa za kuhonga ndio alionja "ladha" ya msichana kwa mara ya kwanza!
sasa ingia kwenye viatu vya huyu kaka halafu anagalia matokeo yake kisaikolojia........... halafu jiulize kama jamii itaundwa na watu wenye saikolojia kama hizi, itakuwa jamii ya aina gani?
ninaona kuwa tusiwalaumu sana wanaohonga kabla hatujahahkikisha kuwa na wale wanaoyadhibiti mapenzi "wanawake na wasichana" alwayz wanayatoa mapenzi for free. hata jamii yetu bado inaona mwanume bora ni yule mwenye hatua fulani ya maisha. htata hayo mapenzi tunayoyaita mapenzi kweli, mengi yasingejegwa kama mwanume angekuwa hohehahe kapuku. angalieni cases za kujichua miongoni mwa vijana masikini ni kubwa kiasi gani...........
hata ungekuwa wewe, ujichue ukiwa shuleni, leo uwe na uwezo wa fedha (hata kama ni kidogo) bado endelee ujichua?.......... hebu tuwe fair jamani, sometimes kuhonga ni muhimu kwa afya ya akili.
kama bado kuna misemo kama "hapendwi mtu........" sasa wale wasiopendwa waendelee kutamani kwa macho hadi lini? kama hela yake aliopata khalali inaeweza kumsaidia, kwa nini asiitumie?mnajua sex urge ikizidi mtu aweza hata ku-commit suicide?
Sasa Mkuu... huyo dada wa kileo ukikuta analo gari lake je? na viwanja anavijua utatumia njia gani? Tatizo pia hutokana na kuvamia wasichana ambao hayo mambo ni mageni sana kwao....
I cant imagine umeazima gari la mtu likapata ajali ( gharama ya kutengeneza? kwako) umekopa pesa kisa umzungushe mtu viwanja.. mwisho wa siku imekula kwako..deni lazima ulipe... what do u get at the end of the day ambacho kinalingana na hasara ulizopata?
AK
Umenikumbusha kama miaka mitatu iliyopita kuna siku nilikuwa lumumba street nanunua vitu, nikiwa nimekaa karibu na duka moja la spea akatokea kijana mmoja ambaye alikuwa mlemavu wa miguu, akiwa anaongea kwa uhakika alikuwa anasema kuwa yeye akipata hela yoyote basi huwa anachofanya ni kutafuta mwanamke yeyote ambaye atavutiwa nae na kumtogoza na humwambia kuwa atampa hela hizo zote, nilijaribu kumdadisi kidogo na akaonyesha kuwa amesha wahi kutembea na wanawake wazuri sana kwa maneno yake, akiwapata kwenye Bar na sehemu za starehe na wote waikubali tu kuondoka nae kwenye magari yao, baada ya kuwaambia kuwa atatoa kuanzia elfu hamsini mpaka laki. Kuna jamaa alikuwa karibu yeye alithibitisha kuwa huyu bwana akiwa na hela huwa kama kichaa na anasema kuna kipindi aliwahi kukaa Sheraton kwa zama hizo karibu siku nne akiwa na mwanamke na analipia pango na chakula.
Unaweza kuona jinsi hiyo nadharia ya mkono mtupu haulambwi ilivyo...
Yes ni hasara isipokuwa hali halisi iliyopo ni kuwa kina dada mara nyingi wanakosa imani kwa kijana asiyeweza kumove fast in terms of cash na mambo mengine yanayooneka yameshika chat kwenye jamii.Na ukwei wa mambo ni kuwa bila kufuata utaratibu na kujari kupata pesa tu ni rahisi kuharibu.Sasa Mkuu... huyo dada wa kileo ukikuta analo gari lake je? na viwanja anavijua utatumia njia gani? Tatizo pia hutokana na kuvamia wasichana ambao hayo mambo ni mageni sana kwao....
I cant imagine umeazima gari la mtu likapata ajali ( gharama ya kutengeneza? kwako) umekopa pesa kisa umzungushe mtu viwanja.. mwisho wa siku imekula kwako..deni lazima ulipe... what do u get at the end of the day ambacho kinalingana na hasara ulizopata?
wapendwa............ kuna kamsemo kuwa "if it works, use it"
jana nilipost hapa kisa cha rafiki yangu mmoja aliyepitia maisha ya kuitwa "mtoto wa mitaani"........ nmeongea naye mambo mengi sana na kati ya aliyonieleza ni kuwa jitihada zote za kutafuta urafiki na wasichana hazikuzaa matunda hadi anapata kazi na kuwa na pesa za kuhonga ndio alionja "ladha" ya msichana kwa mara ya kwanza!
sasa ingia kwenye viatu vya huyu kaka halafu anagalia matokeo yake kisaikolojia........... halafu jiulize kama jamii itaundwa na watu wenye saikolojia kama hizi, itakuwa jamii ya aina gani?
ninaona kuwa tusiwalaumu sana wanaohonga kabla hatujahahkikisha kuwa na wale wanaoyadhibiti mapenzi "wanawake na wasichana" alwayz wanayatoa mapenzi for free. hata jamii yetu bado inaona mwanume bora ni yule mwenye hatua fulani ya maisha. htata hayo mapenzi tunayoyaita mapenzi kweli, mengi yasingejegwa kama mwanume angekuwa hohehahe kapuku. angalieni cases za kujichua miongoni mwa vijana masikini ni kubwa kiasi gani...........
hata ungekuwa wewe, ujichue ukiwa shuleni, leo uwe na uwezo wa fedha (hata kama ni kidogo) bado endelee ujichua?.......... hebu tuwe fair jamani, sometimes kuhonga ni muhimu kwa afya ya akili.
kama bado kuna misemo kama "hapendwi mtu........" sasa wale wasiopendwa waendelee kutamani kwa macho hadi lini? kama hela yake aliopata khalali inaeweza kumsaidia, kwa nini asiitumie?mnajua sex urge ikizidi mtu aweza hata ku-commit suicide?
jamani ours is also a society, society haiwezi kurndeshwa kwa maoni kama mnayotoa hapa........, kumbukeni hata hizo vocha moyoni mwa huyo kaka hutoka kama zawadi tu na imression ya kuhonga imo moyoni mwa huyo anayependa vya dezo.......... sasa nipeni mfano wa jamii iliyoelimika kiasi cha kuomesha hata kupeana zawadi............. vinginevyo tunajilisha upepo tu........
siku zote niliamini huogopi hoja ila leo naona umekwepa kujibu hoja niliyoitoa................. hahahaaaaaaa.............
AK
Umenikumbusha kama miaka mitatu iliyopita kuna siku nilikuwa lumumba street nanunua vitu, nikiwa nimekaa karibu na duka moja la spea akatokea kijana mmoja ambaye alikuwa mlemavu wa miguu, akiwa anaongea kwa uhakika alikuwa anasema kuwa yeye akipata hela yoyote basi huwa anachofanya ni kutafuta mwanamke yeyote ambaye atavutiwa nae na kumtogoza na humwambia kuwa atampa hela hizo zote, nilijaribu kumdadisi kidogo na akaonyesha kuwa amesha wahi kutembea na wanawake wazuri sana kwa maneno yake, akiwapata kwenye Bar na sehemu za starehe na wote waikubali tu kuondoka nae kwenye magari yao, baada ya kuwaambia kuwa atatoa kuanzia elfu hamsini mpaka laki. Kuna jamaa alikuwa karibu yeye alithibitisha kuwa huyu bwana akiwa na hela huwa kama kichaa na anasema kuna kipindi aliwahi kukaa Sheraton kwa zama hizo karibu siku nne akiwa na mwanamke na analipia pango na chakula.
Unaweza kuona jinsi hiyo nadharia ya mkono mtupu haulambwi ilivyo...
Yes ni hasara isipokuwa hali halisi iliyopo ni kuwa kina dada mara nyingi wanakosa imani kwa kijana asiyeweza kumove fast in terms of cash na mambo mengine yanayooneka yameshika chat kwenye jamii.Na ukwei wa mambo ni kuwa bila kufuata utaratibu na kujari kupata pesa tu ni rahisi kuharibu.
Kama demand ya dada kwa mpenzi wake ni mambo yanayotaka kuwa na kipato kikubwa unafikiri itakuwaje? Labda trend imeanza kubadilika sasa maana taratibu elimu na vipato vya wanaume na wanawake vinaonekana kushabihiana.
Pengine sasa na kina kaka waanze ku explore other mens zitakazowafanya kina dada wawe more attracted na mambo ya kawaida kawaida bila kuweka mbele pesa tu.
Sure,,,if it works for u use it....... hapa tunajadili one aspect of life kutokana na unafiki wa mtu kujua kabisa anafanya nini halafu anakuja hapa kutafuta validation ya anachokifanya..... sikatai kuwa kuna watu hutumia pesa na vivutio mbalimbali kupata kile watakacho na siyo kwenye mapenzi tu. Rushwa kutumika kupata utakacho pia, na sidhani tunaweza kutetea kuwa maadam inakufikisha utakako basi iachwe tu.Rushwa iwe ya pesa au ya mambo mengine itakuwepo na itaongezeka viwango kama tutaacha kuikemea. Likewise pesa kununua penzi kwangu mimi naona tunahitaji kuijadili .... mwenye kuona hana jinsi ya kupendwa kama binadamu mpaka atumie pesa too bad aendelee.Ila najaribu kuwaza.. unapokaa baadae ukafikiria kuwa hujapendwa wewe bali pesa yako unajisikiaje? Imagine unatafuta mchumba uoe awe mkeo.. ukishamuoa ukasitisha kumhonga humo kwenye ndoa unadhani hatima yake itakuwa nini - BIG QUESTION! THINK ABOUT IT! Kama ni mwanamke anayejiuza hiyo ni ishu nyingine ndio maana prostitution has always been there ( kulikuwa kuna mpaka temple prostitutes ambao walihalalishwa kabisa kama namna ya kuwasaidia wanaume wenye uhitaji ili wasiwehuke kama ulivyosema kwenye bandiko lako ( japo sijui kama kuna kuwehuka)
Tofautisha zawadi na transactional " relationships" kama ni zawadi tu mbona watu wanatoa sana wanawake kwa wanaume. haina neno kabisa.
sasa unakaribia kukubali kuwa jamii ni complex kuliko ulivyotaka kui-frame......... nianze mwishoni, hata mimi napinga sana transactinal relationship ila ninazungumza kulingana na hali halisi ya jamii, sijijadili mimi binafsi, najadili jamii yangu.......... ukinielewa hapo........... basi tutaenda pamoja........hicho atoacho mwanaume huanza kutoa kama zawadi na baadaye utasikia dada akipigiwa simu baada ya salamu tu utasikia "....... dia sasa vocha leo vipi?..... hata buku basi yaani sina hata ya kubip"........ sasa hapo ndo zawadi zilizokuwa zikitolewa kwa nia njema ya zawadi tu, zinapokuwa zimegeka kuwa hongo syndrome, otherwise ilianza kama zawadi tu sio hongo.................
ukipata mchumba kwa kumhonga na kisha kumuoa, imetokea mara nyingi na hakuna utafiti uliotibitisha kuwa ukisitisha kumhonga humo kwenye ndoa kutaingia matatizo. ila ukweli ni kuwa ndani ya ndoa kuna maisha ya pamoja na hatusemi kuhonga, bali "kutoa matumizi" hilo ukisitisha huwa ndoa inachimbika hata kama mwanamke anacho kipato kizuri zaidi ya mume...............
nimesikitika kusikia hijui kama sex urge ikizgi inaweza kuleta wehu na hata kusababisha suicide!
sex urge si kitu cha kuchezea, kinazorotesha self and social esteem kiasi kwamba hushusha kiwango cha kujiamini na wakati mwingine huleta kutojithaminoi, kujichukia nk............ tote haya yakizidi, utasikia mtu kajikata uume, kabaka, kanajisi watoto, au hata kajiua............... tunahitaji utafiti wa kina sana kuweza kuelewa matatizo haya kwa kina katika jamii yetu..........[/QUOTE]
Now i know lol! Ila ni % ngapi wamewehuka, kujikata, kubaka....
Now i know lol! Ila ni % ngapi wamewehuka, kujikata, kubaka....
ndio maana nasema tunahitaji utafiti wa kina katika suala hili.......... wengi wakisikia ubakaji nk. wanasema dunia imeisha, au mmomonyoo wa maadili nk. na kuishia kugenerarize kwa kauli kama hizo lakini ukiingia deep zaidi.............. unaweza hata kumshukuru Mungu kuwa alikuepusha na changamoto za kuwa mwaume katika dunia kama yetu................ jamii yetu inazungumzia zaidi masuala ya mwanmke na kusaidia kujenga uelewa wa kutosha upande huo, lakini mimi naamini kuwa hata uapande wa wanaume kuna mahitaji makubwa sana ya tafiti kufanyika kujua yaliyojificha humo.................[/QUOTE]
Uko sahihi kabisa.. mambo ya wanawake yamewekwa bayana sana na kwa kiasi kikubwa yanajulika... mikakati mbalimbali imewekwa kuyashughulikia... ya wanaume yapo mengi mno lakini hayajulikani kwa undani... na kwa vile hayajulikani basi huishia kulaumiwa zaidi badala ya kusaidiwa. stay tuned nitakuleteeni ishu hii ..huenda tukavunja ukimywa.