LGE2024 Inaruhusiwa kupiga kura ukiwa umevaa boxers?

LGE2024 Inaruhusiwa kupiga kura ukiwa umevaa boxers?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Screenshot_20241127-182941_X.jpg
 
Kwani kura Zina macho kwamba zitamchungulia..
Icho kituo mbona kipo kama sehemu ambayo inaruhusu kuvaa hivyo.
Unapiga kura uku bukta inapeperushwa kwa upepo wa bahari
 
Kwani Ni Sahihi Kula Uchi,,Ukiachana Na Kupiga Kura Uchi?
 
Ni mtoto wa KIISLAMU kaamua kutembea uchi ,

Ni maamuzi yake!!
Mtoto anayefuata maadili ya dini lakini anaimba nyimbo haramu! Ahahahahaha! Huwa namfananisha na yule mchambuzi wa mpira Azam TV na Clouds FM anayejinasibu ni mwenye kufuata dini yake uzuri lakini kasuka Rasta! Ahahahahaha! Nimefuatilia kwa maswaaba, makhalipha, hakuna aliyekuwa na Rasta! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom