Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,800
- 4,859
Salaam alleikhum ndg zanguni. Juzi kati kuna ndugu yangu alinitafuta akiwa kachafukwa mithiri ya kujitoa uhai.
Issue si nyingine ila ni alikuwa amebanwa na taasisi zilizoibuka nchini zikikopesha pesa . Nikagundua kuwa unakopeshwa bila hata kuonana nao. Hakuna unaposign mkataba ila pesa zinaingia na kazi ipo kwenye marejesho na interest rates za hawa watu ni hazilipiki. Baadhi ya kampuni hizi za mitandaoni ni hizi hapa
1: Sawa pesa
2: Ez pesa
3:Really pesa
4: OK pesa
5😛esa buff
6😛opo cash
7:kili loan
Kama nimekosea kwa usahihi wa majina yake mnisamehe maana nimezicopy kama nilivyoandikiwa .Finance ya nchi ni kama haina control yoyote . Its just easy mtu kwenda kwa makampuni na kuchukua pesa bila hata ya financial health check . Sasa tunaenda wapi kama nchi.
Huyo jamaa yangu alipata uwezo wa ku kukopeshwa wana daily interest repayment ina due kila siku unajitaji kurejesha na interest yake ni matusi kwa wizara ya fedha .
Inasadikika baadhi ya makampuni ni ya wachina jambo ambalo linaweza kuwa hatari kwa pesa ya nchi na sina imani kama zinadhibitiwa. Maana wakopeshaji hakuna mahaka mnakutana uso kwa uso .
Wanadai kwa threatening na sijui wanatumia mbinu gani ku access phone contacts za mkopaji na kuanza kupeleka habari za mkopaji kwa contacts zao.
Hii issue ni ya National security maana pesa zanakuwa drained nje nchi imelala fofofo
Huu upuuzi huwezi kuukuta kwenye nchi makini kama Rwanda .
Nikiwaza namna only hope ya biashara ya wazawa ilivyoingiliwa na watu kubaki kupiga kelele, sasa hivi mashine za kamari zimetandazwa nchi nzima, contracts zimebaki na makampuni ya nje pekee, left right pesa inadrain kwenda nje ya nchi . Sasa kama nchi tunajivunia kitu gani kwa sasa.
Ndugu zangu wabunge nchi ina takataka nyingi fanyeni research mnapoingia huko na mpeleke kero za watu . People are suffering nyie kusifia tu . Jamaa yangu ilibidi nichukue jukumu la ku m counsel ndipo tukashughulikia hizo repayments .
Wizara husika mko wapi , where is our national security.