Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu,
Inasemekena eneo alilotekewa Nondo kuna CCTV Camera inayorekodi matukio eneo hilo, lakini pia katika purukushani za patashika nguo kuchanika simu ya moja ya watekaji ilianguka chini, na hivyo vyote amepewa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Wakuu hii ina maana wasiyojulikana kwa mara nyingine watajulikana, na ni suala la muda tu kama kuna hata mmoja alifanikiwa kurekodi tukio hilo video zitaanza kusambaa.
Pia soma: Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Swali la muhimu ni kwamba tutaona watu hawa wakifikishwa kwenye mikono ya sheria, au Jeshi la Polisi litatulia bati kama ilivyokuwa kwenye utekaji wa bonge ambako wameshindwa hata kutoa majina tu ya wale watekaji wakati picha zao zinaonekana!
Au ndio ataambiwa tena kuwa alijiteka, walikuja ndugu zake wakafanya igizo! Ila polisi wa TZ mna sehemu yenu mbinguni kwa sir God!