Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile simu ni mpya na hakuwa na laini, ilidondoshwa na mmachinga aliyekuwa akiuza simu pale stendi.Wakuu,
Inasemekena eneo alilotekewa Nondo kuna CCTV Camera inayorekodi matukio eneo hilo, lakini pia katika purukushani za patashika nguo kuchanika simu ya moja ya watekaji ilianguka chini, na hivyo vyote amepewa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Wakuu hii ina maana wasiyojulikana kwa mara nyingine watajulikana, na ni suala la muda tu kama kuna hata mmoja alifanikiwa kurekodi tukio hilo video zitaanza kusambaa.
Pia soma: Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Swali la muhimu ni kwamba tutaona watu hawa wakifikishwa kwenye mikono ya sheria, au Jeshi la Polisi litatulia bati kama ilivyokuwa kwenye utekaji wa bonge ambako wameshindwa hata kutoa majina tu ya wale watekaji wakati picha zao zinaonekana!
Au ndio ataambiwa tena kuwa alijiteka, walikuja ndugu zake wakafanya igizo! Ila polisi wa TZ mna sehemu yenu mbinguni kwa sir God!
Wataalamu wa kuficha CCTV si bado wapo?Wakuu,

Watekaji inawezekana wakawa wanajulikana ila hawatakiwi wajulikane vyovyote itakavyokuwa itoshe kusema watekaji ni taasisi kubwaWala tusidanganyane, hawa watekaji wana nguvu kubwa hata Polisi hawawezi kuwakamata. Hata Polisi anaweza kutekwa na watu hao, tusiwahusishe Polisi na utekaji tunawaonea.
Wakuu,
Inasemekena eneo alilotekewa Nondo kuna CCTV Camera inayorekodi matukio eneo hilo, lakini pia katika purukushani za patashika nguo kuchanika simu ya moja ya watekaji ilianguka chini, na hivyo vyote amepewa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Wakuu hii ina maana wasiyojulikana kwa mara nyingine watajulikana, na ni suala la muda tu kama kuna hata mmoja alifanikiwa kurekodi tukio hilo video zitaanza kusambaa.
Pia soma: Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Swali la muhimu ni kwamba tutaona watu hawa wakifikishwa kwenye mikono ya sheria, au Jeshi la Polisi litatulia bati kama ilivyokuwa kwenye utekaji wa bonge ambako wameshindwa hata kutoa majina tu ya wale watekaji wakati picha zao zinaonekana!
Au ndio ataambiwa tena kuwa alijiteka, walikuja ndugu zake wakafanya igizo! Ila polisi wa TZ mna sehemu yenu mbinguni kwa sir God!
Simu ina nywila , labda watoe chip ndio waifanyie kazi, na imesajiliwa Jina la MarehemuWakuu,