Inasemekana alipotekwa Nondo kuna CCTV Camera, pia simu ya moja ya watekaji ilianguka na imekabidhiwa polisi. Je, watakamatwa?

Ile simu ni mpya na hakuwa na laini, ilidondoshwa na mmachinga aliyekuwa akiuza simu pale stendi.
 
Kama uchawi ungekuwa unafanya kazi kweli kama inavyosema dawa ya mbwa wale ni kuwagueza kuwa mashoga wote.
 
Wala tusidanganyane, hawa watekaji wana nguvu kubwa hata Polisi hawawezi kuwakamata. Hata Polisi anaweza kutekwa na watu hao, tusiwahusishe Polisi na utekaji tunawaonea.
 
Wataalamu wa kuficha CCTV si bado wapo?
 
Wala tusidanganyane, hawa watekaji wana nguvu kubwa hata Polisi hawawezi kuwakamata. Hata Polisi anaweza kutekwa na watu hao, tusiwahusishe Polisi na utekaji tunawaonea.
Watekaji inawezekana wakawa wanajulikana ila hawatakiwi wajulikane vyovyote itakavyokuwa itoshe kusema watekaji ni taasisi kubwa
 
Sasa hao hao polisi ndio watekaji. Ilitakiwa hivyo vitu viletwe hapa JF moja kwa moja tuvichunguze
 

Hizo CCTV camera zinanyofolewa kama walivyofanya kwenye tukio la Lissu.

Kwenye hilo tukio lazima kuna watu wa serikali au police. Hakuna raia wa kawaida waka na hiyo confidence ya kufanya hayo matukio kwa mara nyingi hivyo tena mbele ya wananchi. Mtu mwenyewe Ndondo hana hata pesa anatembea na kibegi tu .... Watanzania inabidi tuwe serious!!
 
Simu ina nywila , labda watoe chip ndio waifanyie kazi, na imesajiliwa Jina la Marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…